Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Naona mpiga ramli mwingine huyu hapa...kuna uzi nilikuona unapiga ramli moodewji kuondoka vipi zile ramli ziliishia wapi?? 😂 😂 😂 ....kuna watu mnamuogopa haji mpaka huwa usiku mnamuota...mkuu haji bado yupoyupo sana simba..endelea kutafuta vi clip vitakavyokusaidia kutengeneza habari kwa hisiaNatamani nipate hiyo clip.
Uswahiliswahili wake hauwezi kuwa compatible na status ya club kwa sasa.