Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

tatizo la haji manara uropokaji wake kwa washabiki wa simba ndio maana viongozi wameona walete mtu ambaaye sio tu atakuwa afisa habari bali pia atajenga mahussiano mazuri kati ya simba na washabiki ambao ni mtaji mkubwa kuliko bilioni 20 alizotoa Mo dewji
 
Wale wa Techno za buku 70 hawatakiwi na Manara
 
Mtaua sana lakini historical champions atabaki mmoja daima.
Wenzetu mnaongelea masuala ya historia mlizosimuliwa na mababu zenu 😂 😂 😂 😂 😂...sisi tunafocus mambo yaliyopo sahivi ..habari ya timu fulani sijui kumfunga tukuyu stars na kuchukua ubingwa enzi za ukoloni huko sisi hayatusaidii kitu ...msiwe mnaleta timu uwanjani sasa acheni tu historia icheze mpira
 
Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
angalia namna ya kumliwaza basi
 
Wenzetu mnaongelea masuala ya historia mlizosimuliwa na mababu zenu 😂 😂 😂 😂 😂...sisi tunafocus mambo yaliyopo sahivi ..habari ya timu fulani sijui kumfunga tukuyu stars na kuchukua ubingwa enzi za ukoloni huko sisi hayatusaidii kitu ...msiwe mnaleta timu uwanjani sasa acheni tu historia icheze mpira
Ndiyo maana bado Liverpool anaheshimika hadi kesho lakini ana zaidi ya miaka 20 hajabeba ndoo ya EPL. Tutaelimishana mdogo mdogo.
 
Yani watu hivi manara shida yake nini, Kipindi cha manara simba imefungua hadi channel You tube sasa mnataka afanye nini? Au nyie vyura inawakera sana?
Mjue tu kua Manara anadumisha tu ule utani wa jadi
 
Mtaua sana lakini historical champions atabaki mmoja daima.
Yanga msimu uliyopita ndo timu iliyopigwa faini kubwa kwa mambo ya ushirikina kuliko timu yoyote ligi kuu! Bado mkaishia kupigwa na mnyama kamoja tu
 
Mijitu mipumbavu roho ya korosho kufurahi wengine wakipoteza ajira. Haya sasa Haji huyo anafanya press ya Simba muda huu

Screenshot_2019-08-20-13-53-35~2.png
 
Mijitu mipumbavu roho ya korosho kufurahi wengine wakipoteza ajira. Haya sasa Haji huyo anafanya press ya Simba muda huu

View attachment 1185943
Hahahahahahha acha kupumbanzwa,umemsikiliza vizuri Leo ? Kwa taarifa yako hii ndo press yake ya mwisho akiwa msemaji wa Simba. Kila kitu kipo tayari. Baada ya mechi. Wiki ijayo Gift Macha ataanganzwa kwa umma. Kiofisi Gift kishaanza kazi.
 
Halafu kuna kitu mashabiki hawaoni.

Kwenye official press conference alikuwa anafanya promotion ya vitu/bidhaa ambazo zinamhusu yeye as an individual sio club ya 5imba. Maziwa ya Asas na Perfume yake ni mifano.

Yeye ni balozi was Asas. Club haina lolote na kampuni.
 
Leo umemuona alivyoongea kwa adabu ? Kwanza hajaitaja Yanga. Pia akasema hakuna mtu atakae kaa milele Simba.
Wakati press za nyuma huwa ana majigambo sana. Ila nina wasiwasi Huyu Haji anaweza hata mfanyia Gift kitu mbaya.
Kusema ukweli usemaji wa Simba umemsaidia sana Haji kupata matangazo kutoka Asas n.k.
 
Natamani nipate hiyo clip.
Uswahiliswahili wake hauwezi kuwa compatible na status ya club kwa sasa.
 
Halafu kuna kitu mashabiki hawaoni.

Kwenye official press conference alikuwa anafanya promotion ya vitu/bidhaa ambazo zinamhusu yeye as an individual sio club ya 5imba. Maziwa ya Asas na Perfume yake ni mifano.

Yeye ni balozi was Asas. Club haina lolote na kampuni.
Naona unapiga ramli,endeleeni kupiga tu zile za moodewji kuondoka naona mlipiga zikabuma....kiufupi kama unasubiri haji kuondoka simba utasubiri sana,na kama humpendi jiandaeni kwa stress na vidonda vya tumbo msimu ujao....kilichopo ni timu inafanya marekebisho na uboreshaji wa mfumo...haji atakuwa kitengo cha propaganda na uhamasishaji na hapo ndo watu wataanza umwa vidonda vya tumbo
 
Back
Top Bottom