3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Hayo ndio mnawaza tu wana yanga... Au wewe binafsi.??Msije kumtoa kafara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ndio mnawaza tu wana yanga... Au wewe binafsi.??Msije kumtoa kafara.
Kwamba hujui nyie mnaongoza kwenye fani ya ulozi mpirani?Hahaaaah mashabiki ya gongowazi bwana...bado mnaamini mambo kama hayo ya kafara
Kweli mkuu,hata nyie tuliwaloga tukawapiga kimoja cha mkweziKwamba hujui nyie mnaongoza kwenye fani ya ulozi mpirani?
Kila mechi mnaua shabiki mmoja.Kweli mkuu,hata nyie tuliwaloga tukawapiga kimoja cha mkwezi
Na ile ya kwenu tuliua mmoja tukawakamua kimoja cha mkweziKila mechi mnaua shabiki mmoja.
Mtaua sana lakini historical champions atabaki mmoja daima.Na ile ya kwenu tuliua mmoja tukawakamua kimoja cha mkwezi
Wale wa Techno za buku 70 hawatakiwi na Manaratatizo la haji manara uropokaji wake kwa washabiki wa simba ndio maana viongozi wameona walete mtu ambaaye sio tu atakuwa afisa habari bali pia atajenga mahussiano mazuri kati ya simba na washabiki ambao ni mtaji mkubwa kuliko bilioni 20 alizotoa Mo dewji
Wenzetu mnaongelea masuala ya historia mlizosimuliwa na mababu zenu 😂 😂 😂 😂 😂...sisi tunafocus mambo yaliyopo sahivi ..habari ya timu fulani sijui kumfunga tukuyu stars na kuchukua ubingwa enzi za ukoloni huko sisi hayatusaidii kitu ...msiwe mnaleta timu uwanjani sasa acheni tu historia icheze mpiraMtaua sana lakini historical champions atabaki mmoja daima.
angalia namna ya kumliwaza basiYule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Ndiyo maana bado Liverpool anaheshimika hadi kesho lakini ana zaidi ya miaka 20 hajabeba ndoo ya EPL. Tutaelimishana mdogo mdogo.Wenzetu mnaongelea masuala ya historia mlizosimuliwa na mababu zenu 😂 😂 😂 😂 😂...sisi tunafocus mambo yaliyopo sahivi ..habari ya timu fulani sijui kumfunga tukuyu stars na kuchukua ubingwa enzi za ukoloni huko sisi hayatusaidii kitu ...msiwe mnaleta timu uwanjani sasa acheni tu historia icheze mpira
zilipendwaaaNdiyo maana bado Liverpool anaheshimika hadi kesho lakini ana zaidi ya miaka 20 hajabeba ndoo ya EPL. Tutaelimishana mdogo mdogo.
Yanga msimu uliyopita ndo timu iliyopigwa faini kubwa kwa mambo ya ushirikina kuliko timu yoyote ligi kuu! Bado mkaishia kupigwa na mnyama kamoja tuMtaua sana lakini historical champions atabaki mmoja daima.
Hahahahahahha acha kupumbanzwa,umemsikiliza vizuri Leo ? Kwa taarifa yako hii ndo press yake ya mwisho akiwa msemaji wa Simba. Kila kitu kipo tayari. Baada ya mechi. Wiki ijayo Gift Macha ataanganzwa kwa umma. Kiofisi Gift kishaanza kazi.Mijitu mipumbavu roho ya korosho kufurahi wengine wakipoteza ajira. Haya sasa Haji huyo anafanya press ya Simba muda huu
View attachment 1185943
Halafu kuna kitu mashabiki hawaoni.Hahahahahahha acha kupumbanzwa,umemsikiliza vizuri Leo ? Kwa taarifa yako hii ndo press yake ya mwisho akiwa msemaji wa Simba. Kila kitu kipo tayari. Baada ya mechi. Wiki ijayo Gift Macha ataanganzwa kwa umma. Kiofisi Gift kishaanza kazi.
Leo umemuona alivyoongea kwa adabu ? Kwanza hajaitaja Yanga. Pia akasema hakuna mtu atakae kaa milele Simba.Halafu kuna kitu mashabiki hawaoni.
Kwenye official press conference alikuwa anafanya promotion ya vitu/bidhaa ambazo zinamhusu yeye as an individual sio club ya 5imba. Maziwa ya Asas na Perfume yake ni mifano.
Yeye ni balozi was Asas. Club haina lolote na kampuni.
Natamani nipate hiyo clip.Leo umemuona alivyoongea kwa adabu ? Kwanza hajaitaja Yanga. Pia akasema hakuna mtu atakae kaa milele Simba.
Wakati press za nyuma huwa ana majigambo sana. Ila nina wasiwasi Huyu Haji anaweza hata mfanyia Gift kitu mbaya.
Kusema ukweli usemaji wa Simba umemsaidia sana Haji kupata matangazo kutoka Asas n.k.
Naona unapiga ramli,endeleeni kupiga tu zile za moodewji kuondoka naona mlipiga zikabuma....kiufupi kama unasubiri haji kuondoka simba utasubiri sana,na kama humpendi jiandaeni kwa stress na vidonda vya tumbo msimu ujao....kilichopo ni timu inafanya marekebisho na uboreshaji wa mfumo...haji atakuwa kitengo cha propaganda na uhamasishaji na hapo ndo watu wataanza umwa vidonda vya tumboHalafu kuna kitu mashabiki hawaoni.
Kwenye official press conference alikuwa anafanya promotion ya vitu/bidhaa ambazo zinamhusu yeye as an individual sio club ya 5imba. Maziwa ya Asas na Perfume yake ni mifano.
Yeye ni balozi was Asas. Club haina lolote na kampuni.