Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Natamani nipate hiyo clip.
Uswahiliswahili wake hauwezi kuwa compatible na status ya club kwa sasa.
Naona mpiga ramli mwingine huyu hapa...kuna uzi nilikuona unapiga ramli moodewji kuondoka vipi zile ramli ziliishia wapi?? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ....kuna watu mnamuogopa haji mpaka huwa usiku mnamuota...mkuu haji bado yupoyupo sana simba..endelea kutafuta vi clip vitakavyokusaidia kutengeneza habari kwa hisia
 
Manara anaongea sana ila alichukia nafasi yake kuchukuliwa na mtu. Gift bado ni Afisa habari ila hataelewana na Manara
 
Manara anaongea sana ila alichukia nafasi yake kuchukuliwa na mtu. Gift bado ni Afisa habari ila hataelewana na Manara
Manara ana wivu sana. Gift kazi anayo. Awe makini sana na Haji.
 
Gift atakuwa mpumba.vu akikubali kufanya kazi na Haji.
Mashabiki wa makwasukwasu mmegeuka washauri wa simba πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ...mkuu nimekwambia hajismanara hsondoki simba...yupoyupo sana...kama humpendi jiandae kuanza kumeza dawa ya vidonda vya tumbo
 
Reactions: Tui
Honestly, napenda aendeleee kuwepo maana ni kielelezo cha uswahiliswahili wenu. Anadai Jumapili huwa mnaachia mvua halafu mnaifunga.
 
Honestly, napenda aendeleee kuwepo maana ni kielelezo cha uswahiliswahili wenu. Anadai Jumapili huwa mnaachia mvua halafu mnaifunga.
Sawa mzee baba basi tufanye jumapili sisi tunafungwa taifa na nyinyi mnaenda kushinda kule na township rollers...ndo unavyoota sioo???? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huu uzi naona umegeuka kuwa sehemu ya mashabiki wa gongowazi kupiga ramli eti nakujifanya wanatoa ushauri kwenye maswala ya simba
Hao vyura hawana jipya.. usajili wao tu wameanza kurushiana maneno.
Na wakilambwa na Township ndio mdomo utawakauka kabisa
 
Reactions: Tui
Manara ana wivu sana. Gift kazi anayo. Awe makini sana na Haji.
Bibie wewe sio ndio ulikuja na umbeya kuhusu Haji kuondolewa katika nafasi yake ya usemaji Simba?Vipi umejuaje kuhusu wivu wa Haji ?Unafiki ni ugonjwa.
 
Bibie wewe sio ndio ulikuja na umbeya kuhusu Haji kuondolewa katika nafasi yake ya usemaji Simba?Vipi umejuaje kuhusu wivu wa Haji ?Unafiki ni ugonjwa.
Afisa habari ni Gift Macha. Ngoja mechi ipite atatanganzwa rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…