Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Yule atabaki kua muhamasishaji tu nafikiri ila hawez kutoka simba moja kwa moja. Huyo Gift anaenda kufanya kazi kiweledi zaid kama anavyofanya D10 yule wa Yanga...
Gift ndo Le Boss mwenyewe,Haji la saba alijiona kafika kuwa leBOSS wa idara ya habari Simba.
Mo hataki vilaza.Mara uwaite mashabiki ni tecno ,biashara ile.Mo kaona isiwe tabu anataka kampuni yake Simba iendeshwe kisomi zaidi.
 
Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Ila atapata hata DC .MANAKE KWA KULAMBA VIDOLE VIONGOZI WA SERIKALI HAJAMBO.
 
Amewanyoosha kwasu kwasu hawana jambo fukia fukia
Gift ndo Le Boss mwenyewe,Haji la saba alijiona kafika kuwa leBOSS wa idara ya habari Simba.
Mo hataki vilaza.Mara uwaite mashabiki ni tecno ,biashara ile.Mo kaona isiwe tabu anataka kampuni yake Simba iendeshwe kisomi zaidi.
 
yule alikuwa ni mpumbavu, muda wote anaiwaza yanga tu, bora ametimuliwa, atabaki kuwa mtukanaji mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…