Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Wacha weee!!!
Kule moshi maafande wamechomoa betri hahahahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Wacha weee!!!
Kule moshi maafande wamechomoa betri hahahahahaha
[emoji196][emoji196][emoji196]Lala ww wakike wakiccm naona unaota
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Haji kupigwa chini,kumenifanya nisahau hata kama leo tumefungwa.
Mmmh, Botswana? Una utani wa ngumi kwa Yanga...ambao watakwenda Botswana kwa mechi ya marudio.Hiyo hiyo Mtani iliyoshindwa kupata bao Botswana.
Kuumbe eee? Haya nasubiria nilione hilo trektaHii inaashiria jambo moja tu Shadeeya kwamba Simba sio tu tuna kikosi kipana kwa wachezaji bali hata kwenye safu ya uongozi. Akitoka jembe anaingia trekta, yaani kila anaekuja ni bora na mzuri zaidi kwenye nafasi yake kuliko aliyeondoka
Oooh! Sawa Mtani.Mechi za ugenini mtani ni ngumu sana
Just imagine Mamelody alichezea goli mbili kwa katimu ambako hata akajulikani.
Kumbuka mamelody alifika nusu fainali
mmeo atakua ni Kiduku LiloMme wangu yupo busy na SADC,nipo namsubiri arudi.Anarudi saa kumi Alfajiri.
Shaka ondoa mamiiKuumbe eee? Haya nasubiria nilione hilo trekta
Mashabiki wa simba ndiyo watampa kura...Yaani yule akishinda ubunge,nitawadharau sana wanadsm.
Hakika simba haiwezi kumtosa Manara kamwe... !! Jamaa itakuwa kapandishwa cheo[emoji119][emoji119][emoji119]Kuna watu wanafikiri Manara kapigwa chini kabisaaaa
Yaaan hatajihusisha na Simba tenaaaaaa
Kumbe ndo kwaaanza amezidi kulamba dume,saivi kakabidhiwa kitengo kizuri zaidiii
Masaa 7 yamebaki kipute kianze nitakuwa kwa mkapa nikipata mudaEwaaaaa!! Hamna kitu ka hicho Mtani Azam anashinda moja bila.
Huwa mnazinunua hizo?Sio mbaya atakua busy na perfume yake
Ooh! Safi sana Mtani sisi wa Mkoani tunasubiria muda ufike tusogee karibu na TV.Masaa 7 yamebaki kipute kianze nitakuwa kwa mkapa nikipata muda