Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Niliwahi ku-comment humu kwamba Afisa Habari ambaye yupo walau professional ni yule Maganga wa Azam.

Hao wafuasi wa huyo Manara wakaja kunizonga na vidumu vyao kuchota mafuta kwenye ile comment, Guess what!

MUDA NDO UMECHOMOA BETRI.
 
Kuna watu wanafikiri Manara kapigwa chini kabisaaaa

Yaaan hatajihusisha na Simba tenaaaaaa

Kumbe ndo kwaaanza amezidi kulamba dume,saivi kakabidhiwa kitengo kizuri zaidiii
 
Kama angehamia Kwa Vyura FC ingekuwa ndo habari, ila kama kabaki Kwa Masimba Dume No probleme, ni democtrasia mujarabu tu ya Simba!

Baba Manara endelea kuchemsha maji ya bwawa Vyura wote wakaote jua la saa 8!!
 
Aanze tena kuuza na kuiba magari tena arudi kabisa akakae shinyanga
 
Kuna watu wanafikiri Manara kapigwa chini kabisaaaa

Yaaan hatajihusisha na Simba tenaaaaaa

Kumbe ndo kwaaanza amezidi kulamba dume,saivi kakabidhiwa kitengo kizuri zaidiii
Hakika simba haiwezi kumtosa Manara kamwe... !! Jamaa itakuwa kapandishwa cheo[emoji119][emoji119][emoji119]
 
*MABORESHO KITENGO CHA HABARI NDANI YA SIMBA SC*

Gift Macha yeye ataenda kuwa Media Officer(Mtayarishaji wa press zote,pia kuendesha Simba TV mpya ambayo itakuwa ni channel kabisa na YouTube Chanel za simba,Instagram,twitter and Facebook pages.)

Haji Manara atabakia msemaji wa klabu (club spokesman)
 
Back
Top Bottom