Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Ndio nasema kule ambapo mnasema tupo kunawakaribia Mtani. Na hapa napata shaka kama mtajaa hiyo mechi na Ud Songo.

Sababu mpiga kelele hatokuwepo.
We're trading mtani kujaza uwanja sio taabu tena kwetu, tunaanza na leo kula ice cream na meno hatulambi sisi.
.
Edson Alcantara Delima Maradona Manara Santos De Sunday Haji bado yupo na mechi ya leo utamuona akizungumza
 
Tunampa muda nadhani nusu msimu unamtosha 😜😜😜 mana tutakuwa tumeshajua mbivu na mbichi kwenye mbio za kuwania makombe karibia yote tutakayokuwa tunashiriki.
Sema tuache kasumba ya kuwafukuza makocha mtani;

Mimi hata mwaka huu, tusipo chukua club bingwa Africa lakini uchebe aendelee achiwa timu walau kwa miaka 5 akishindwa Kudeleriver kwa kipindi icho walau ndio abadilishwe
 
Yule atabaki kua muhamasishaji tu nafikiri ila hawez kutoka simba moja kwa moja. Huyo Gift anaenda kufanya kazi kiweledi zaid kama anavyofanya D10 yule wa Yanga...
D10 ni mzigo bora arudi mpiga zumali J muro....

Yanga na simba kuelekea kimataifa ingekuwa ni full shangwe timu pinzani zina fungwa kabla ya mpira kuanza
 
Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Huyo Haji isijekuwa kafunguliwa kesi tayari ya kumtapeli yule Muoman?

Huyu Haji ni hatari sana ikija masuala ya pesa.
 
Gongowazi mna kaaazi kweli!!!!Hivi ngoja niwaulize,mlidhani soka ni kuuza jezi zenu za mpasuo???!!!!!Embhu kuweni serious kidogo basi walau hata kwa 20% ayseee,eboh!!!!
Haji kupigwa chini,kumenifanya nisahau hata kama leo tumefungwa.
 
Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]wamepata cha kusema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…