Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha mkuu ngoja nimuulize swali hivi victoire una mume au unatafuta mume humu?Lala ww wakike wakiccm naona unaota
Ccm imetoka wapi tena hapa?.Lala ww wakike wakiccm naona unaota
Tapeli yule,zile perfume anadaiwa.Kesi ipo mahakamani.
Vyeti adimu nini? Kumbe Kelele nyingi sana nikujihami yupo sawa tu na sisi std 7?Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Yashakuwa hayo tena,anaishi kijanja janja tu,nasikia anataka jimbo dsmTapeli yule,zile perfume anadaiwa.Kesi ipo mahakamani.
Duuh aiseeLa saba,nasikia atakuwa mtu wa propaganda tu .Mambo ya press yote le BOSS ni Gift Macha.