Msemaji wa klabu anaisemea klabu sensitive issues mara ya mwisho wewe kumsikia msemaji wa man u Chelsea liver arsenal Madrid nk ilikuwa lini ?Unajua kazi ya msemaji Wa club?
kweli nchi hii elimu ni majanga.Sikubaliani na hoja yako. Kuingia kwy swala la uumbwaji ambao mhusika hana mamlaka nao ni aina ya ubaguzi.
Mimi huwa namuelewa na sisi wana Simba tunamkubali sana tu.
Mshambulie kwa hoja zake na si vinginevyo. Mbona alichoongea ni cha kawaida sana na yeyote anaweza kuongea. Hayo ya kwako umeyatolea wapi ktk maongezi yake??
Sipendi kabisa vijidalili vya ubaguzi wa uumbwaji...eti kisa sijui umesomea vitakataka vyako...mhx!
Manara ana haki ya kuchukuliwa mitazamo yake sawasawa na wengine.
Kama unajua sana basi kamwambie na yule kuwa ufupi wake ndio unamfanya "haambiliki" kama hujanyea debe.
kweli nchi hii elimu ni majanga.
mimi namtetea - wewe unatafsiri namshambulia!
jamani tuwe waelewa kuhusu Haji Manara.
psychologically, ni jambo la kawaida kwa maumbile ya kibinadamu kwa mtu mwenye physical deficiency ku compensate mapungufu ya hali alinayo nayo. it comes involuntarily.
Kitendo cha Haji kubeba tivii na Kuwaita waandishi kujadili Makosa ya refa, pale ndio nilipo pata uhakika uyu jamaa ana mushker kichwani.Unajua kazi ya msemaji Wa club?
Msemaji wa club au msengenyaji wa clubUnajua kazi ya msemaji Wa club?
Swadakta, Makuli wamepita wengi na wnaosubiri kwenye foleni ni Wangi.Simba ni institution, Manara anawakilisha institution, Banda ni kama kuli unamlipa kama hataki kwendraaaaa
Tatizo ni pale unapoelezea pumba zako kwa kina ukijifanya unajua.jamani tuwe waelewa kuhusu Haji Manara.
psychologically, ni jambo la kawaida kwa maumbile ya kibinadamu kwa mtu mwenye physical deficiency ku compensate mapungufu ya hali alinayo nayo. it comes involuntarily.
anaweza ku compensate hali hiyo kwa kuwa mgomvi sana, mlevi sana, mtukanaji sana, msema ovyo, nk.
so...niwaase wapenzi wa michezo always tuwe tuna sympathize na Haji Manara badala ya kumwona ana matatizo.
Banda ni mjinga tuHili jamaa ni lijinga sana, ina maana kama banda alisaidiwa na kupitia mikononi kwa simba sport club hana haki ya kuongea au kutoa maoni???
Halafu naona amezunguka sana na hoja butu zisizo na mashiko. Abdi banda amempa za uso kuwa yeye ni moja ya vikwazo vya maendeleo ya mpira wa tanzania , badala ya kujibu hilo jiiwe alilorushiwa matokeo yake ameishia kutapatapa kwa kuwataja wakina samata na msuva.
To be honest haji manara and the likes ni miongoni mwa wadau wanaoshusha soka la bongo. Samuel etoo aliwahi kuwaponda shirikisho la soka la Cameroon kuwa ni kikwazo cha maendeleo kwa soka la cameroon.
Huwezi kumwelewa maana una kichwa kigumuCjawahi kimuelewa Manara
Huipendi vipi yanga?acha unafkiWe haji yanga tu..
Banda yuko sahihi na itabaki hivyo.....we mswahili Fulani hivi....mwenzio alikuwa jerry...kuwa pro kama huyu Wa yanga ingawa timu siiipendi
Banda amezungumza kama captain au kocha?Mkuu unaonaje utufafanulie?
Halafu niulize habari za malalamiko ya refa na mechi ilichezeshwaje naonaga ulaya anaezungumzia ni kocha au kapteni.
Msemaji nahisi ni kutoa taarifa rasmi au kusaidia kwenye branding.