Haji Manara atokwa na povu baada ya kulipuliwa na Abdi Banda

Haji Manara atokwa na povu baada ya kulipuliwa na Abdi Banda

Unajua kazi ya msemaji Wa club?
Msemaji wa klabu anaisemea klabu sensitive issues mara ya mwisho wewe kumsikia msemaji wa man u Chelsea liver arsenal Madrid nk ilikuwa lini ?

Ila huyu msemaji wetu kila siku ya mungu anaongea ,masuala ya ufundi yeye mechi ikiisha ataongea na kuzungumzia masuala ya ufundi ,kabla ya mechi ataongea ..refa katoa kadi ya njano ataongea

Banda ame experience ligi ya south na kaona utofauti mkubwa ..msemaji wa klabu anakuwa kocha yeye ,mkurugenzi wa michezo yeye ,ufundi yeye mpaka wachezaji wanamdharau
 
Banda ache mwenye kazi ya kipiga mdomo apige mdomo yeye afanye kazi yake ya miguu that's all
 
Sikubaliani na hoja yako. Kuingia kwy swala la uumbwaji ambao mhusika hana mamlaka nao ni aina ya ubaguzi.

Mimi huwa namuelewa na sisi wana Simba tunamkubali sana tu.

Mshambulie kwa hoja zake na si vinginevyo. Mbona alichoongea ni cha kawaida sana na yeyote anaweza kuongea. Hayo ya kwako umeyatolea wapi ktk maongezi yake??

Sipendi kabisa vijidalili vya ubaguzi wa uumbwaji...eti kisa sijui umesomea vitakataka vyako...mhx!

Manara ana haki ya kuchukuliwa mitazamo yake sawasawa na wengine.

Kama unajua sana basi kamwambie na yule kuwa ufupi wake ndio unamfanya "haambiliki" kama hujanyea debe.
kweli nchi hii elimu ni majanga.

mimi namtetea - wewe unatafsiri namshambulia!
 
Manara Hapo amesema ukweli mtupu ila kwakuwa tunaongea kwa ushabiki bado manara anaonekana hana point. Ukweli banda bado hajafika safari yyt Katika soka ndio kwanza anaanza banda aache maneno acheze mpira awake marengo Mahali alipo bado Sana. Aige mfano wa msuva au samatta hajawahi dharau au kukosoa walikotoka. Matatizo yapo kote hata Man Utd au bac au Madrid kote Kuna ubinadamu. Banda akumbuke Sio yeye wa kwanza kwenda nje kucheza mpira wengi wameenda na wakarudi. Banda akumbuke alikuwa hana adabu hana nidhamu lkn alivumiliwa Sana na simba na mashabiki km [emoji753] amejifunza kitu huoo aliko aache kuchonga waandishi wa habari ni hatari Sana ajihadhari Sana kesho watamgeuka tena. Nasi mashabiki kma banda anafanya vyema tumpongeze km anaharibu tumkosoe Tusipende kushabikia mapungufu tutakuwa hatumsaidii banda na WAchezaji wengine. Banda Kumbuka siku halizidi kichwa
 
Banda kuwa makini jihadhari na sifa na maneno haya kwenye timu ya taifa umekuwa Msemaji Sana zaidi ya wenzako kina msuva na samata wewe bado Sana mpira Wala ni mdogo Sana acha uswahili wa kibongo bongo acha kuiga wasanii wabongo wanaopenda sifa wasizostahili
 
Unajua kazi ya msemaji Wa club?
Kitendo cha Haji kubeba tivii na Kuwaita waandishi kujadili Makosa ya refa, pale ndio nilipo pata uhakika uyu jamaa ana mushker kichwani.
Kwenye Mpira kunamakosa yanafanywa na refa simba inafaidika na kunamakosa yanafanywa na refa simba inaumizwa. Uo ndiompira braza ata uko Ulaya hivyo ndivyo ilivyo.
 
Huyu banda ni mshamba bado, anajiona professional player huku anachezea njombe mji ya sauzi
 
Simba ni institution, Manara anawakilisha institution, Banda ni kama kuli unamlipa kama hataki kwendraaaaa
Swadakta, Makuli wamepita wengi na wnaosubiri kwenye foleni ni Wangi.
 
jamani tuwe waelewa kuhusu Haji Manara.

psychologically, ni jambo la kawaida kwa maumbile ya kibinadamu kwa mtu mwenye physical deficiency ku compensate mapungufu ya hali alinayo nayo. it comes involuntarily.

anaweza ku compensate hali hiyo kwa kuwa mgomvi sana, mlevi sana, mtukanaji sana, msema ovyo, nk.

so...niwaase wapenzi wa michezo always tuwe tuna sympathize na Haji Manara badala ya kumwona ana matatizo.
Tatizo ni pale unapoelezea pumba zako kwa kina ukijifanya unajua.
 
Manara analopoka mno, alitakiwa awe mwimba taarab sijui ilikuwaje akawa mtu wa media.

Ni kama kuna kitu hakipo sawa kichwani, kitu kidogo anatoa maneno kurasa mbili anakumbushia habari za mwaka 90, huyu msemaji wa mikia ni kituko.
 
Hili jamaa ni lijinga sana, ina maana kama banda alisaidiwa na kupitia mikononi kwa simba sport club hana haki ya kuongea au kutoa maoni???


Halafu naona amezunguka sana na hoja butu zisizo na mashiko. Abdi banda amempa za uso kuwa yeye ni moja ya vikwazo vya maendeleo ya mpira wa tanzania , badala ya kujibu hilo jiiwe alilorushiwa matokeo yake ameishia kutapatapa kwa kuwataja wakina samata na msuva.

To be honest haji manara and the likes ni miongoni mwa wadau wanaoshusha soka la bongo. Samuel etoo aliwahi kuwaponda shirikisho la soka la Cameroon kuwa ni kikwazo cha maendeleo kwa soka la cameroon.
Banda ni mjinga tu
 
We haji yanga tu..
Banda yuko sahihi na itabaki hivyo.....we mswahili Fulani hivi....mwenzio alikuwa jerry...kuwa pro kama huyu Wa yanga ingawa timu siiipendi
Huipendi vipi yanga?acha unafki
 
Mkuu unaonaje utufafanulie?
Halafu niulize habari za malalamiko ya refa na mechi ilichezeshwaje naonaga ulaya anaezungumzia ni kocha au kapteni.
Msemaji nahisi ni kutoa taarifa rasmi au kusaidia kwenye branding.
Banda amezungumza kama captain au kocha?
 
Back
Top Bottom