py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
- Thread starter
- #21
Msemaji wa klabu anaisemea klabu sensitive issues mara ya mwisho wewe kumsikia msemaji wa man u Chelsea liver arsenal Madrid nk ilikuwa lini ?Unajua kazi ya msemaji Wa club?
Ila huyu msemaji wetu kila siku ya mungu anaongea ,masuala ya ufundi yeye mechi ikiisha ataongea na kuzungumzia masuala ya ufundi ,kabla ya mechi ataongea ..refa katoa kadi ya njano ataongea
Banda ame experience ligi ya south na kaona utofauti mkubwa ..msemaji wa klabu anakuwa kocha yeye ,mkurugenzi wa michezo yeye ,ufundi yeye mpaka wachezaji wanamdharau