F Filosofia ya Rorya JF-Expert Member Joined Sep 20, 2021 Posts 3,211 Reaction score 3,611 Jul 2, 2023 #121 Huyu Manara brain yake ina albinism !? Anaposema bandari haituhusu je, anajuwa 39% ya bajeti ya taifa inatoka hapo? Anadhani dawa yake ya Nitisinone kwa ajili ya tyrosinemia inapatikanaje na wapi? Kama siyo bandari hiyo kuingiza mapato. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Huyu Manara brain yake ina albinism !? Anaposema bandari haituhusu je, anajuwa 39% ya bajeti ya taifa inatoka hapo? Anadhani dawa yake ya Nitisinone kwa ajili ya tyrosinemia inapatikanaje na wapi? Kama siyo bandari hiyo kuingiza mapato. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
mzeewaSHY JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 8,916 Reaction score 8,630 Jul 2, 2023 #122 NANCA said: Ule upumbavu wa mwkristo kuwaombea heri na kuwashobokea watu toka Israel ndo upumbavu ule ule unaofanywa na hawa waislam kumshobokea na kumwombea heri mwarabu. Nafkiri watanzania tunahtaji uponyaji mkuu Click to expand... Umepiga kote kote sijui kama utaeleweka 😂😂 !
NANCA said: Ule upumbavu wa mwkristo kuwaombea heri na kuwashobokea watu toka Israel ndo upumbavu ule ule unaofanywa na hawa waislam kumshobokea na kumwombea heri mwarabu. Nafkiri watanzania tunahtaji uponyaji mkuu Click to expand... Umepiga kote kote sijui kama utaeleweka 😂😂 !