Haji Manara;Double Agent aliyetumwa na Mo kuivuruga Yanga

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kama umezoea kuangalia spy movies utanielewa,ila kama umezoea bongo kovie hautoniekewa.

Haji anachukua mishahara miwili,kutoka kwa Mo na kutoka GSM,
Simba ikifungwa huwa anaenda chooni kulia
Hutaki acha ubwaya ubwile
 
Screenshot_20240722-165117_Instagram.jpg
 
Kama umezoea kuangalia spy movies utanielewa,ila kama umezoea bongo kovie hautoniekewa.

Haji anachukua mishahara miwili,kutoka kwa Mo na kutoka GSM,
Simba ikifungwa huwa anaenda chooni kulia
Hutaki acha ubwaya ubwile
Mo hana machawa kama, Waarabu ndio wanapenda machawa.

Mo ni msomi, msomi na mambo ya uchawa tofauti kabisa.

Mo anamuelewa sana Magoli academically.

Huyo Manara ni mpumbavu fulani tu, Mo hana muda na wajinga kama hao usimpaishe.
 
Spy hata standard seven wapo broo,wengine hujifanya vichaa ili jambo lao lipite
 
Moo hana huo Ujinga kwa sasa.
Kumbuka Hersi anataka Sifa na Machawa na Support ya WanaYanga achukue JIMBO LA UCHAGUZI.

Mooo ameshatoka hatua aliyopo Hersi toka mwaka 2000 hukoooooo.
Kumbuka Moo ashachukua Jimbo la Singida hadi akaamua kuacha. Hatua ambayo Hersi ndiyo anaitafuta sasa kwahiyo usiwaweke mzani sawa kwenye machawa na wafuasi.
 
Mo hana machawa kama, Waarabu ndio wanapenda machawa.

Mo ni msomi, msomi na mambo ya uchawa tofauti kabisa.

Mo anamuelewa sana Magoli academically.

Huyo Manara ni mpumbavu fulani tu, Mo hana muda na wajinga kama hao usimpaishe.
Kwakwel na ndio maana baba Levo na mwijaku n rahisi sana kukuta wakishikana shikana na kucheka na kina GSM ,lkn n ngumu sana kuwaona wakijichekesha Kwa mo mkuu..
 
siyo double agent hata ni waliomuajiri wameshindwa kusoma personality yake! Kwahiyo wangojee mgogoro anaoenda kuzua maana haheshimu yeyote hata Rais wa Yanga! Anakuambia familia ya Manara imejenga jengo la Yanga! Na anajitamba kwa kutangaza kwa wana Habari nini kamuelekeza Hersi cha kufanya yaani kujenga uwanja na kuöeta ubingwa wa Afrika! Kumbuka aliajiriwa kuwa Msemaji Ila tayari anatumia platform kutangaza TV Yake! Yaani ni shida!
 
siyo double agent hata ni waliomuajiri ameshindwa kusoma personality yake! Kwahiyo wangojee mgogoro anaoenda kuzua kuzua maana haeshimu yeyote hata Rais wa Yanga! Anakuambia familia ya Manara imejenga jengo la Yanga!
Jengo la Yanga na la Simba pesa ametowa marehemu Mzee Karume, ndio maana heshima anapewa mke wake Fatma Karume kuwa mjumbe wa bodi ya wadhamini.

Eng Hersi kuna mtego wa panya kaukalia na yeye ni mtoto wa Kariakoo akijichanganya tu kuleta ukariakoo wao imekuka kwao.

Tunamuheshimu sana GSM kwa mchango wake kwa Yanga, lakini kuhusu Manara hapana wamchukuwe wakampe kazi kwenye makampuni yao, sisi wenye timu hatumtaki kwani yeye nani?
 
Kwani Manara amekukosea nini, mbona unamsagia kunguni? Wajipange tu namna ya kufanya kazi wote wawili, ila labda useme Manara apewe tu angalizo
 
Manara ana connection kama zote, afanye mambo mengine sisi Yanga hatumtaki.

Huyu Manara ndiye aliyepandikiza chuki ya mashabiki wa Simba na Yanga sasa hivi si watani tena bali ni chuki na matusi, Manara na Jerry Muro ndio waliopanda mbegu hii.
 
Umeongea point Sana shabiki maandazi hatakuelewa. Kumkaribisha Manara popote ni Sawa Sawa na kukumbatia mzinga WA nyuki. Kitendo chake cha kufungiwa kimewakoa hata Yanga.
 
Jengo la Yanga na la Simba pesa ametowa marehemu Mzee Karume, ndio maana heshima anapewa mke wake Fatma Karume kuwa mjumbe wa bodi ya wadhamini.

Eng Hersi kuna mtego wa panya kaukalia na yeye ni mtoto wa Kariakoo akijichanganya tu kuleta ukariakoo wao imekuka kwao.

Tunamuheshimu sana GSM kwa mchango wake kwa Yanga, lakini kuhusu Manara hapana wamchukuwe wakampe kazi kwenye makampuni yao, sisi wenye timu hatumtaki kwani yeye nani?
Anadai yeye ndiye Yanga nyie wengine wa kuchovya tu kwa vile katika hivyo vikombe 30 mnavyoringia nusu yake imechangiwa na familia ya Manara, ana matusi ya reja reja sana huyu sope.
 
Moo hana huo Ujinga kwa sasa.
Kumbuka Hersi anataka Sifa na Machawa na Support ya WanaYanga achukue JIMBO LA UCHAGUZI.

Mooo ameshatoka hatua aliyopo Hersi toka mwaka 2000 hukoooooo.
Kumbuka Moo ashachukua Jimbo la Singida hadi akaamua kuacha. Hatua ambayo Hersi ndiyo anaitafuta sasa kwahiyo usiwaweke mzani sawa kwenye machawa na wafuasi.
Hersi ni karani tu hana last say pale muhusika ni GSM
 
Back
Top Bottom