CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Nakubaliana na wewe 100 % manara amechangia uhasama kati ya mashabiki wa Simba na Yanga na kutoka kwenye ule utani wa jadi tuliozoea.Manara ana connection kama zote, afanye mambo mengine sisi Yanga hatumtaki.
Huyu Manara ndiye aliyepandikiza chuki ya mashabiki wa Simba na Yanga sasa hivi si watani tena bali ni chuki na matusi, Manara na Jerry Muro ndio waliopanda mbegu hii.