CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Nakubaliana na wewe 100 % manara amechangia uhasama kati ya mashabiki wa Simba na Yanga na kutoka kwenye ule utani wa jadi tuliozoea.Manara ana connection kama zote, afanye mambo mengine sisi Yanga hatumtaki.
Huyu Manara ndiye aliyepandikiza chuki ya mashabiki wa Simba na Yanga sasa hivi si watani tena bali ni chuki na matusi, Manara na Jerry Muro ndio waliopanda mbegu hii.
Hersi ameowa dada yake GSM, inshort Hersi ndio GSM katika mwili wa HersiHersi ni karani tu hana last say pale muhusika ni GSM
Alooo...Hawa vijana wanaangalia 'fursa' Mambo ya Yanga/Simba Damu wanayajua Akina Mzee Magoma.
Kanataka mpunga kalishe familia yake...hakana namna...Haka nako eti nyuma mwiko lia lia na kubana pua kwake.
TuthibitishieKama umezoea kuangalia spy movies utanielewa,ila kama umezoea bongo kovie hautoniekewa.
Haji anachukua mishahara miwili,kutoka kwa Mo na kutoka GSM,
Simba ikifungwa huwa anaenda chooni kulia
Hutaki acha ubwaya ubwile