kweli kabisa mkuu.Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.
Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.
Hata mimi huwa ananiudhi sana yeye kila kitu anachukulia mipasho tu. Ndiye anayesababisha timu ikwame kupata ushindi juu ya kelele zake.Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.
Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.
Huyo Muro naye alikuwa bogus sana amekaa kimbeyambeya!kweli kabisa mkuu.
Yanga nao walikuwa kimeo Muro - hovyo kabisa!
Nasikia si mchoyo. Wengine wachoyo wa vitu vyao, utadhani wanavilipia bili ya mwezi. Wakati mwenzenu anasusia watu. Wataacha kumtunuku!Huyo Muro naye alikuwa bogus sana amekaa kimbeyambeya!
Na anawakilisha mawazo ya wanasimba wengi...ndivyo walivyo!Manara ayo anayo tamka ndio namna anavyo fikiri na ndio uwezo wake wa kuyatafakari mambo mengine utamwonea bure.
Barua yenyewe wala haikwenda FIFA![emoji23]Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.
Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.
Msemaji wa manchester ni nani? Tuachane na ujinga wa wasemaji, wasemaji waende kwenye makongamano, soka letu tuliboreshe zaidi uwanjani.Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.
Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.
Nasikia si mchoyo. Wengine wachoyo wa vitu vyao, utadhani wanavilipia bili ya mwezi. Wakati mwenzenu anasusia watu. Wataacha kumtunuku!