Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nae ana watoto jamani.Mbumbu fc... Malalamiko FC...
UKIONA HVYO HALI TETE HYO NI KUZUGA MASHABKI ZAO..
dunia kijiji kila umbea unazipata kwenye mitandao!sasa manara michambo yake ndo habary ya mjini!we hufuatilii soka la bongo lakini unamfuatilia manara..
samahani joseverest
Umemuwahi joseverestwe hufuatilii soka la bongo lakini unamfuatilia manara..
samahani joseverest
Sio kweli WanaSimba wengi hawako kama Manara ni wachache tu wana behave kama yeye!Na anawakilisha mawazo ya wanasimba wengi...ndivyo walivyo!
Nina uhakika kabisa kwa mashabiki wa simba wanaojielewa hawafurahishwi na mambo ya manara
Yanga wana haki ya kumjadili, kwa sababu ni msemaji wa timu yao pia. Lini umemsikia akiisemea Simba pekee bila ya kuitaja Yanga? Yeye ni msemaji wa timu zote mbili. Kama moja imeridhika naye, ya pili inayo haki ya kumtaka arekebishe mambo ya upande wao.Naona humu nyie Yanga ndiyo mmejaa..wenyewe Simba hawana tatizo na msemaji wao..wanamwamini sana....hata TFF nao na hasa uongozi wa sasa wanampenda sana...alipokuwa amefungiwa alifunguliwa haraka ...sasa nyie mnakuja na maneno yenu....Simba wanampenda, TFF nao wanampenda, sasa nyie Yanga mnalialia kwanini???