Haji Manara hafai kuwa msemaji wa Simba

Haji Manara hafai kuwa msemaji wa Simba

Tusaidie mipasho yake ni ipi ?..

Ushindi wa Timu ya mpira unaletwaje na msemaji wa klabu ?..

Kelele ni nini ?..

Zipi ni kelele ktk taarifa zake ?.
Haji bana..hivi kile kikosi ni cha bilioni 1.3 kweli?
 
Huenda baadhi ya mashabiki wa simba wapo hivyo kama msema sema wao

Haji bana..hivi kile kikosi ni cha bilioni 1.3 kweli?

Pia manara ni msemaji wa chama..huwa anatoa hoja za kuprotect ccm...hivi mpira na sisa wapi na wapi..mimi nibsimba damu

Haki yake mandhari havunji Sheria

Samahani Mkuu Haji Manara sikujua kuwa upo humu!!!!

Kwahiyo acc ya Magu anaweza kupost chochote lzm kuwe na tofauti ya kiongozi na ww! Anachosema kiongozi kina reflect na taasisi anayoifuatilia.

Barua ina kilo 5 sijui walijaza mawe

Timu ya mambumbumbu utegemee wanapenda kusikia nn zaidi ya udaku na kuongopewa!!

Mipasho imezidi sana,ile nafasi inamfaa mtu mstaarabu

Naona akili zinawarudi sasa


Hii yote sababu ni M.B.A.O

Ili ueleweke ni vema ungetuwekea majukumu ya Wasemaji wa klabu za mpira hususani Simba,ili tujue yamekiukwa vipi ...

Tuwekee na utaratibu au miongozo yao ,wanajisemea tu kutoka ktk Akili zao au wanatumwa na klabu zao ?..

Tusaidie mipasho yake ni ipi ?..

Ushindi wa Timu ya mpira unaletwaje na msemaji wa klabu ?..

Kelele ni nini ?..

Zipi ni kelele ktk taarifa zake ?.

Sio account ya kazi Ile ni yake binafsi kuna muda inabidi tuwe tunaacha kushtumu Kwa mambo ya mtu binafsi

Hawa wapiga debe tu hawana chochote ukiangalia hawako wabunifu kabisa.. ukiangalia msemaji wa sasa wa yanga yaani ndo creative tofauti na muro aliekua mpiga kelele tu alafu timu ziko nyuma ki habari dunia ya sasa inaitaji watu wabunifu sio wazaramo midomoni

Jamaa anakwaza hadi nawaza kum-unfollow Instagram maana 90% ya post zake zinahusu Yanga na sio Simba,hatupati habari zinahusu club bali tunapata changamoto zinazoihusu Yanga.Japokuwa akituliwa ana uwezo mkubwa mno wa kujieleza na kuielezea club sasa sijui ni nini kinamfanya ajichetue.
Usemaji wa vile ni aibu kwa timu ,kuna vitu vya msingi vya kuzungumzia
 
Usemaji wa vile ni aibu kwa timu ,kuna vitu vya msingi vya kuzungumzia

Bado haujajibu swali nililo kuuliza ili hoja yako ieleweke..Jibu kwanza Mkuu ,usimshambulie Mtu kwa hisia..
 
Bado haujajibu swali nililo kuuliza ili hoja yako ieleweke..Jibu kwanza Mkuu ,usimshambulie Mtu kwa hisia..
Simshambulii kwa hisia,msemaji wa timu kubwa kama simba anajikita na kuanzisha hoja za kumfananisha mchezaji na shilole?kujadili kikuku?
9a983d5a3a03d8af68a7b1dd9fc9103b.jpg

Kuna mambo mengi ya msingi
 
Simshambulii kwa hisia,msemaji wa timu kubwa kama simba anajikita na kuanzisha hoja za kumfananisha mchezaji na shilole?kujadili kikuku?
9a983d5a3a03d8af68a7b1dd9fc9103b.jpg

Kuna mambo mengi ya msingi

Mkuu mimi nnaons tuishie hapo nnaona tumeshindwa kujadiliana kwa sababu ya wewe kubeba zaidi hisia zako na sio kanuni ya majadiliano ,umeshindwa kutofautisha maoni ya Mtu binafsi na taarifa rasmi ya Klabu ya Simba.
 
hivi Vilabu vyetu watu kama kina Haj ndio wanaopendwa, leo baadhi ya washabiki wa Yanga wanatamani Muro arudi ili awe mzungumzaji wao.

Kuhusu mtu kuandika katika account yake binafsi sio tija kama wewe upo katika sekta yyenye ushawishi itakukagharimu tu na kuingiza ile sekata katika lawama ya kuonekana imekutuma au ipo ovyo kiuendeshaji.

Mfano leo kuna viongozi wanashitakiwa kwa makosa yao binafsi lakini habari zao zikiandikwa zitaamabatanishwa na sekta zao aiza wanazoziongoza au walizoziongoza.

inatakiwa ukiwa katika majukumu ya sekta fulani yenye ushawishi uwe mtu wa nidhamu na kuchunga sana katika kauli na matendo yako
 
Anapaswa ajue dunia inabadilika kila siku zinavyosonga. Msemaji wa klabu ni lazima awe tofauti na nyakanga mfunda maharusi. Simba is a big team needs wise and professional speakers.
 
Yule jamaa akili yake haiko sawa,. Mie hata nashangaa mashabiki wanamuaminije mtu hamaanishi anachokiongea... Hovyo kabisa
 
Ukweli hafai kuwa msemaji
 
Angalia alichopost leo Instagram,hivi hata anapokutana na hao wachezaji uwanjani huwa inakwaje,ni mtu wa kushambulia personality zaidi
 
Haji Manara ni kielelezo sahihi cha Club ya Simba. Otherwise, asingekuwa hapo hadi sasa!
 
habary wanajamvi!leo kuna hili jambo kidogo kinanitatiza sana!kuhusu kua oficer wa habary kwenye vilabu vyetu!kwanza sijuu kama wanaelewa nini maana ya kua oficer wa habary!kutwa vichambo na kuchambana kama waimba taarab kweli!mfano huyu manara!mimi sio shabiki wa vilabu vya bongo kwasababu ya ubabaishaji uliokithiri!ukiulizia oficer wa habary wa manchester united huwezi kumjua!zaidi kazi zake utazitambua kwenye mitandao ya kijamii na kadhalika!huwezi kumkuta akiwa anazungumzia timu nyengine!kwa hally yyte humkuti kuchamba kama oficers wetu wa habary katika vilabu vyetu!.ushaury!kwanza awekeze nguvu kubwa kwenye mitandao ya kijamii duniani kuinadi mafanyikio na matarajio ya simba sport club!maana kuna mambo mengi na fursa zakutumia hizi mitandao kuweza kuifikisha simba mbali zaidi!kuliko kilasiku kuitisha waandishi na kuanza kuchamba!au ndo akifanya hivyo anapata kuonekana na kujiongezea maujiko yakupiga mizinga?kituko zaidi eti anajisifu kua baada ya dar derby!mashabiki wa yanga walimfwata hahahaha[emoji16]kweli ndo aliloliona la maana saaana!kuliko kuizungumzia klabu yake.
 
we hufuatilii soka la bongo lakini unamfuatilia manara..
samahani joseverest
 
Back
Top Bottom