Haji Manara hafai kuwa msemaji wa Simba



Jamaa anakwaza hadi nawaza kum-unfollow Instagram maana 90% ya post zake zinahusu Yanga na sio Simba,hatupati habari zinahusu club bali tunapata changamoto zinazoihusu Yanga.Japokuwa akituliwa ana uwezo mkubwa mno wa kujieleza na kuielezea club sasa sijui ni nini kinamfanya ajichetue.
 
Msemaji wa manchester ni nani? Tuachane na ujinga wa wasemaji, wasemaji waende kwenye makongamano, soka letu tuliboreshe zaidi uwanjani.
Nani kakwambia Manchester united haina msemaji Wa team ... Kama vitu hujui uliza ... Manchester INA mtu Wa mahusiano mitandaoni na ina mtu Wa PR kawaida,
 

Attachments

  • 1506092466775.png
    27.8 KB · Views: 50
  • 1506092475032.png
    35.8 KB · Views: 50
Tens nasikia sasa anajifanya kama kiongozi wa juu. Mechi ya Jana huko mwanza na mbao yeye ndio katuingiza chaka kumpangia timu omog. Kweli kabisa huyu hatufai yaani bora hata masau bwire.
 
Maswala yote technical anayaongea Jose Mourinho, hao wa mitandaoni ni ma typist, wanatype alichokisema manager wa timu
Nani kakwambia Manchester united haina msemaji Wa team ... Kama vitu hujui uliza ... Manchester INA mtu Wa mahusiano mitandaoni na ina mtu Wa PR kawaida,
 
Reactions: SDG
Hawa wapiga debe tu hawana chochote ukiangalia hawako wabunifu kabisa.. ukiangalia msemaji wa sasa wa yanga yaani ndo creative tofauti na muro aliekua mpiga kelele tu alafu timu ziko nyuma ki habari dunia ya sasa inaitaji watu wabunifu sio wazaramo midomoni
 
Sio account ya kazi Ile ni yake binafsi kuna muda inabidi tuwe tunaacha kushtumu Kwa mambo ya mtu binafsi
 
Hata mimi huwa ananiudhi sana yeye kila kitu anachukulia mipasho tu. Ndiye anayesababisha timu ikwame kupata ushindi juu ya kelele zake.

Tusaidie mipasho yake ni ipi ?..

Ushindi wa Timu ya mpira unaletwaje na msemaji wa klabu ?..

Kelele ni nini ?..

Zipi ni kelele ktk taarifa zake ?.
 

Ili ueleweke ni vema ungetuwekea majukumu ya Wasemaji wa klabu za mpira hususani Simba,ili tujue yamekiukwa vipi ...

Tuwekee na utaratibu au miongozo yao ,wanajisemea tu kutoka ktk Akili zao au wanatumwa na klabu zao ?..
 
Hata mimi huwa ananiudhi sana yeye kila kitu anachukulia mipasho tu. Ndiye anayesababisha timu ikwame kupata ushindi juu ya kelele zake.
Mipasho imezidi sana,ile nafasi inamfaa mtu mstaarabu
 
Sio account ya kazi Ile ni yake binafsi kuna muda inabidi tuwe tunaacha kushtumu Kwa mambo ya mtu binafsi
Kwahiyo acc ya Magu anaweza kupost chochote lzm kuwe na tofauti ya kiongozi na ww! Anachosema kiongozi kina reflect na taasisi anayoifuatilia.
 
Pia manara ni msemaji wa chama..huwa anatoa hoja za kuprotect ccm...hivi mpira na sisa wapi na wapi..mimi nibsimba damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…