Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayo itakuwa ni sunnahMmmmh nilidhani kufuga ndevu ni swaga kumbe ni amri?Asante Kwa kunijuza mkuu,na vuzi Je linanyolewa au linaachwa limee
Aisee..usichukue Kitu Kama Kilivyo Kufuga Ndevu Sio Amri Katka Uislamu Ni Sunna
Vuzi utaangalia, kama unaingia chumvini, lazima uwe na bajeti ya toothpick za kutolea nywele zinazonasa kwenye menoMmmmh nilidhani kufuga ndevu ni swaga kumbe ni amri?Asante Kwa kunijuza mkuu,na vuzi Je linanyolewa au linaachwa limee
Wavaa kobaz mnakomalia(ga) vitu vya kipuuzi
Vipi wewe lini umewahi miliki akiliTangu lini kobazi wakawa na akili timamu.
Ulichokisema wewe na nilivyomuelewa Haji ni vitu viwili tofauti.Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu.
Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam.
Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho ya mtume wetu mpendwa.
View attachment 2863226
Dah! Huyu kijana umaarufu unamponza. Yaani anaikashifu hadharani sunna ya Mtume!!Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu.
Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam.
Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho ya mtume wetu mpendwa.
View attachment 2863226
Kwenye post yako hiyo kayumba sana na kuonyesha udhaifu wa kiimani ,kitu hata kama haikiwezi au kwako haukipendi inatosha kunyamaza kuliko kukashifu hadharani .Udhaifu pale kutangaza kuwa kuanza kufuga kisa ni mwanamke na siyo kufuata Sunna .Dah! Huyu kijana umaarufu unamponza. Yaani anaikashifu hadharani sunna ya Mtume!!
Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu.
Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam.
Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho ya mtume wetu mpendwa.
View attachment 2863226