Haji Manara hajui kufuga ndevu ni Sunna na amrisho la Mtume (S.AW)? Afananisha wanaofuga ndevu na mabeberu ya kihutu

vitu vingine jamani tuvifikirie kabla ya kuzungumza ndevu zenyewe hata kama akitaka kufuga zitaota au tunajizima data!!!
 
Mmmmh nilidhani kufuga ndevu ni swaga kumbe ni amri?Asante Kwa kunijuza mkuu,na vuzi Je linanyolewa au linaachwa limee
Vuzi utaangalia, kama unaingia chumvini, lazima uwe na bajeti ya toothpick za kutolea nywele zinazonasa kwenye meno
 
Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu.

Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam.

Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho ya mtume wetu mpendwa.
View attachment 2863226
Ulichokisema wewe na nilivyomuelewa Haji ni vitu viwili tofauti.

Sijawahi kuisikia sunna ya "videvu vya kiberu".
 
Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu.

Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam.

Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho ya mtume wetu mpendwa.
View attachment 2863226
Dah! Huyu kijana umaarufu unamponza. Yaani anaikashifu hadharani sunna ya Mtume!!
 
Kwenye post yako hiyo kayumba sana na kuonyesha udhaifu wa kiimani ,kitu hata kama haikiwezi au kwako haukipendi inatosha kunyamaza kuliko kukashifu hadharani .Udhaifu pale kutangaza kuwa kuanza kufuga kisa ni mwanamke na siyo kufuata Sunna .
 
Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu.

Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam.

Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho ya mtume wetu mpendwa.
View attachment 2863226

Muslims are too judgmental Halaf mnaona pepo ni km yenu

Mnatianaa ujinga sana
 
Back
Top Bottom