Haji Manara, Jerry Muro...jipu lingine la soka TZ...

Haji Manara, Jerry Muro...jipu lingine la soka TZ...

The Boss tatizo sio kina Muro na Manara tatizo ni waandishi makanjanja tulionao wengine tunafikia kuwapa ubunge.

Angalia taarifa ya habari ITV maswala ya afya anahojiwa mwananchi maswala ya daraja kuvunjika na way foward anahojiwa mwenyekiti wa kijiji...na habari inakamilika bila opinion ya mtaalamu na Chombo cha habari kinapewa tuzo na kujiita super brand
Wewe una chuki Na ITV sio bure tasnia ya habari Tanzania ni tatizo kama TBC kutokurusha bunge live wakati ni TV ya taifa inaendeshwa kwa kodi za wananchi
 
sasa mkuu unataka watu serious...kwani watanzania wenyewe wako serious....viongozi wetu ni reflection ya tulivyo
 
Wangetimuliwa tu

mbona alikuwepo Ezekiel Simba
na Sendeu Yanga haikuwa hivi
Mkuu,
wote wawili wanatumia fursa inayotokana na udhaifu wa kimanagement ktk timu zetu za yanga na Simba.

kuhusu Jerry,
nilipata habari kuwa anatumia nafasi hiyo kujijengea umaarufu ili baadae aingie ktk siasa.
 
hawa watu wapo ki sheria ni matakwa ya FIFA kwa premier league clubs kua Na spokesperson na makatibu wa wakuu wa kuajiliwa issue inakuja je, wananayo yafanya ndio wajibu wao? Sababu nnavyo fahamu wao wanatakiwa kutoa habari official kutoka ktk clubs zao na cio hisia zao binafisi ina maana Muro akiongea ni yanga imesema and vice-versa maajabu unakuta manara kashupaa kuongea habari za yanga wkt yy anatakiwa aongee habari za simba na kma wana utan binafisi waufanye nje ya kazi!
 
Wewe una chuki Na ITV sio bure tasnia ya habari Tanzania ni tatizo kama TBC kutokurusha bunge live wakati ni TV ya taifa inaendeshwa kwa kodi za wananchi

Katumia ITV kama Sample tu lakini kiukweli karibu Media zote ZIMEOZA na hazina UELEDI zaidi ya kubebana na kuendeleza tu policy ya " business as usual ".
 
Wewe una chuki Na ITV sio bure tasnia ya habari Tanzania ni tatizo kama TBC kutokurusha bunge live wakati ni TV ya taifa inaendeshwa kwa kodi za wananchi
Ni kweli tasnia ya habari iko hoi kiasi cha kutoaminika...ingekuwa inaaminika usingelilia live
 
Kwani bongo/Tanzania kuna mpira?achane kuupaisha huu uchafu wa bongo.
 
Kuna mambo yanafanyika kwenye soka letu,hayafanyiki sehemu yeyote duniani.
Ni Tanzania pekee.
 
Kuna radha yake kumsikiliza jerry kama simba imepigwa na kitimu kidogo
 
Hivi umewahi kumjua msemaji wa timu yeyote ile ya Ulaya?
mnawajua wasemaji wa Man U?au Barcelona?

hivi mnafikiri hizi club kubwa kabisa duniani hazina idara za habari?
zinazo tena zina watu veyr very qualified..

ndo maana zina TV zao kabisa na wasemaji tele
but mnajua why makocha wakikataa kuongea na press before au after
mechi wanaweza kuadhibiwa?

Hivi hatuoni aibu mpira wenyewe huu wa kihuni huni halafu sasa
tunakubali 'wasemaji' wa timu hizinow ndo wanakuwa 'superstars'
wakubwa kabisa wa timu hizo?

Watu wengi sasa wanafuatilia mpira kumsikia Jerry Muro atasema nini
au Manara atamjibu nini

Sura zao ni maarufu kuliko za Donald Ngoma au Hajib au Mayanja..

kila siku wao ndo 'main players' kwenye media.....

halafu tunaulizana why mpira uko hivi?
Bossman...

Hawa wasemaji wa vilabu wanaongeza ladha ya utani Chifu...Utani wa jadi wa Simba na Yanga ni wa kipekee duniani...Wa aina yake...

Umewahi kuwasikia Masau Bwire wa Ruvu Shooting ama Thobias Kifaru Rigarambwike wa Mtibwa Sugar??

Hawa jamaa ni shida...Muro na Manara hawawafikii...Wana maneno Khanga balaa...

Huyo Bwire kuna kipindi mpaka alitishiwa maisha..
 
Kuwasikiliza hao jamaa ni burudani tosha.
 
Mkuu toroka uje, inaruhusiwa. Kumlalamikia Muro unakosea lkn kwa Manara unapatia[emoji12] [emoji13]
 
Kuna ulazima gani wa kufuata kila tamaduni ya mzungu?acha ushamba we mbumbumbu fc,kila mahala pana aina yake ya furaha,hao ma mc wa timu wanavyotambiana smtm ina waconvice mashabiki mpaka uwanja unajaa,vitu vingine ukitaka kuvizungumza angalia na mazingira,we umeona ulaya tu?unajua america style yao na timu zao?
Tungeacha kucheza na mpira maana chanzo ni hao hao wazungu sheria wanatunga wenyewe, mpaka timu kuwa na wasemaje wamdtaka wao, sasa wewe unashauri tusiyafuate yapi ya wazungu?
 
Bossman...

Hawa wasemaji wa vilabu wanaongeza ladha ya utani Chifu...Utani wa jadi wa Simba na Yanga ni wa kipekee duniani...Wa aina yake...

Umewahi kuwasikia Masau Bwire wa Ruvu Shooting ama Thobias Kifaru Rigarambwike wa Mtibwa Sugar??

Hawa jamaa ni shida...Muro na Manara hawawafikii...Wana maneno Khanga balaa...

Huyo Bwire kuna kipindi mpaka alitishiwa maisha..

Bora wawe mashabiki tu kwenye TV..
watupiane vijembe
mpira tuwape wahusika wawe front
wachezaji na makocha
 
Lilikuwa wazo zuri kuwa na wasemaji wa timu ila siyo hao,Jery Muro anatakiwa awe msemaji wa Twanga pepeta na Haji Manara awe msemaji wa Mashujaa band.
 
Back
Top Bottom