Kibo255
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 4,408
- 3,941
Wewe una chuki Na ITV sio bure tasnia ya habari Tanzania ni tatizo kama TBC kutokurusha bunge live wakati ni TV ya taifa inaendeshwa kwa kodi za wananchiThe Boss tatizo sio kina Muro na Manara tatizo ni waandishi makanjanja tulionao wengine tunafikia kuwapa ubunge.
Angalia taarifa ya habari ITV maswala ya afya anahojiwa mwananchi maswala ya daraja kuvunjika na way foward anahojiwa mwenyekiti wa kijiji...na habari inakamilika bila opinion ya mtaalamu na Chombo cha habari kinapewa tuzo na kujiita super brand