Wewe una chuki Na ITV sio bure tasnia ya habari Tanzania ni tatizo kama TBC kutokurusha bunge live wakati ni TV ya taifa inaendeshwa kwa kodi za wananchiThe Boss tatizo sio kina Muro na Manara tatizo ni waandishi makanjanja tulionao wengine tunafikia kuwapa ubunge.
Angalia taarifa ya habari ITV maswala ya afya anahojiwa mwananchi maswala ya daraja kuvunjika na way foward anahojiwa mwenyekiti wa kijiji...na habari inakamilika bila opinion ya mtaalamu na Chombo cha habari kinapewa tuzo na kujiita super brand
Mkuu,Wangetimuliwa tu
mbona alikuwepo Ezekiel Simba
na Sendeu Yanga haikuwa hivi
Wewe una chuki Na ITV sio bure tasnia ya habari Tanzania ni tatizo kama TBC kutokurusha bunge live wakati ni TV ya taifa inaendeshwa kwa kodi za wananchi
Ni kweli tasnia ya habari iko hoi kiasi cha kutoaminika...ingekuwa inaaminika usingelilia liveWewe una chuki Na ITV sio bure tasnia ya habari Tanzania ni tatizo kama TBC kutokurusha bunge live wakati ni TV ya taifa inaendeshwa kwa kodi za wananchi
Bossman...Hivi umewahi kumjua msemaji wa timu yeyote ile ya Ulaya?
mnawajua wasemaji wa Man U?au Barcelona?
hivi mnafikiri hizi club kubwa kabisa duniani hazina idara za habari?
zinazo tena zina watu veyr very qualified..
ndo maana zina TV zao kabisa na wasemaji tele
but mnajua why makocha wakikataa kuongea na press before au after
mechi wanaweza kuadhibiwa?
Hivi hatuoni aibu mpira wenyewe huu wa kihuni huni halafu sasa
tunakubali 'wasemaji' wa timu hizinow ndo wanakuwa 'superstars'
wakubwa kabisa wa timu hizo?
Watu wengi sasa wanafuatilia mpira kumsikia Jerry Muro atasema nini
au Manara atamjibu nini
Sura zao ni maarufu kuliko za Donald Ngoma au Hajib au Mayanja..
kila siku wao ndo 'main players' kwenye media.....
halafu tunaulizana why mpira uko hivi?
Kuwasikiliza hao jamaa ni burudani tosha.Bossman...
Hawa wasemaji wa vilabu wanaongeza ladha ya utani Chifu...Utani wa jadi wa Simba na Yanga ni wa kipekee duniani...Wa aina yake...
Umewahi kuwasikia Masau Bwire wa Ruvu Shooting ama Thobias Kifaru Rigarambwike wa Mtibwa Sugar??
Hawa jamaa ni shida...Muro na Manara hawawafikii...Wana maneno Khanga balaa...
Huyo Bwire kuna kipindi mpaka alitishiwa maisha..
Mkuu toroka uje, inaruhusiwa. Kumlalamikia Muro unakosea lkn kwa Manara unapatia[emoji12] [emoji13]Hivi umewahi kumjua msemaji wa timu yeyote ile ya Ulaya?
mnawajua wasemaji wa Man U?au Barcelona?
hivi mnafikiri hizi club kubwa kabisa duniani hazina idara za habari?
zinazo tena zina watu veyr very qualified..
ndo maana zina TV zao kabisa na wasemaji tele
but mnajua why makocha wakikataa kuongea na press before au after
mechi wanaweza kuadhibiwa?
Hivi hatuoni aibu mpira wenyewe huu wa kihuni huni halafu sasa
tunakubali 'wasemaji' wa timu hizinow ndo wanakuwa 'superstars'
wakubwa kabisa wa timu hizo?
Watu wengi sasa wanafuatilia mpira kumsikia Jerry Muro atasema nini
au Manara atamjibu nini
Sura zao ni maarufu kuliko za Donald Ngoma au Hajib au Mayanja..
kila siku wao ndo 'main players' kwenye media.....
halafu tunaulizana why mpira uko hivi?
Tungeacha kucheza na mpira maana chanzo ni hao hao wazungu sheria wanatunga wenyewe, mpaka timu kuwa na wasemaje wamdtaka wao, sasa wewe unashauri tusiyafuate yapi ya wazungu?Kuna ulazima gani wa kufuata kila tamaduni ya mzungu?acha ushamba we mbumbumbu fc,kila mahala pana aina yake ya furaha,hao ma mc wa timu wanavyotambiana smtm ina waconvice mashabiki mpaka uwanja unajaa,vitu vingine ukitaka kuvizungumza angalia na mazingira,we umeona ulaya tu?unajua america style yao na timu zao?
Bossman...