Haji Manara katudhalilisha Waislamu

Haji Manara katudhalilisha Waislamu

Cheo Cha Padri au Imamu hakimfanyi mtu awe na matendo mema.
Kumbukeni hata hao mnaowaita Majambazi
Magaidi
Mabedui
Wachawi
Wauaji
Huwa wanawafanyia matendo mema jamaa zao.

Matendo mema yanafanywa na watu wanaompenda Mungu na Jirani.
Kama Kristo Yesu alivyotufundisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaani anatamka bila aibu WAISLAMU NCHI ZIMA tumuunge mkono nilimuona jamaa hana adabu na dini
Angehimiza waislam tushikamane na kupendana na wautangaze uislam wao kila mahali ilikua ni busara kuliko kuropoka vile
Dah,
Mie mshabiki wa Simba Ila Manara bana kuzingua. Upinzani wa Jadi hauko hivyo, Jerry Muro kumtania vile kamaindi kinoma, ni udhaifu huo.

Hivi kusema kua Msemaji wa Simba hakumfai bora akafundishe Madrasa Ndio kuzalilisha uislam kweli?
 
Uislam upo utakuepo miaka nenda rudi
 
Manara anatafuta huruma ya waislamu. Upumbaf wao wa kweny mpira anataka kuuchanganya na imani za wa2. Manara hafai kua kiongozi wa mpira hana akili kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom