Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Luna mwalimu wa madras mmoja huko bukoba amefungwa kwa kulawiti wanafunzi wake
Hata wapo mapadri wanaofanya mchezo huo, ama dunia imeisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Luna mwalimu wa madras mmoja huko bukoba amefungwa kwa kulawiti wanafunzi wake
Dah,Yaaani anatamka bila aibu WAISLAMU NCHI ZIMA tumuunge mkono nilimuona jamaa hana adabu na dini
Angehimiza waislam tushikamane na kupendana na wautangaze uislam wao kila mahali ilikua ni busara kuliko kuropoka vile
Uislam upo utakuepo miaka nenda rudiDah,
Mie mshabiki wa Simba Ila Manara bana kuzingua. Upinzani wa Jadi hauko hivyo, Jerry Muro kumtania vile kamaindi kinoma, ni udhaifu huo.
Hivi kusema kua Msemaji wa Simba hakumfai bora akafundishe Madrasa Ndio kuzalilisha uislam kweli?