MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kabla ya yote nianze kwa kutoa Pongezi zangu kww Mtandao huu wa JamiiForums kwani baada ya Kuandika Uzi kuhusu Kitendo kibaya alichokifanya Msemaji wa Yanga SC Haji Manara umeibua mwako mkubwa, hisia Mseto na Wachambuzi wa Habari za Michezo hasa wa EFM akina Jemedari Said Kazumari na Wilson Oruma kuutumia na kuniunga mkono kwa 99% juu ya Hoja zangu zenye Mantiki.
Pili nitoe Pongezi kwa Watu wa Jeshi la Polisi ( nawahifadhi ) na wa Idara Muhimu na Waandamizi wa Serikali ambao kwa kuweka pembeni Mapenzi yao na Vilabu vya Simba na Yanga wanaazimia Kumuita Msemaji wa Yanga SC Haji Manara muda wowote kuanzia sasa ili Wamhoji juu ya alichokiandika ambacho kwa mujibu wao wamesema ule ni Uhujumu kwa Sekta ya Michezo nchini na pia ni Hatari hata kwa Usalama wa Taifa lakini pia kwa alichokifanya hajaiathiri na Kuichafua tu Simba SC bali ameichafua mpaka nchi ya Tanzania.
Tatu upesi sana nauomba Uongozi wa Simba SC ukae chini na Wanasheria na wamfungulie Kesi ya Jinai Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa kile alichokiandika jana katika Instagram Account yake na Kukifuta upesi kwani wakimnyamazia na kumuachia alilolisema Haji Manara litaaminika na laweza kuwa na Athari Kwetu katika Mechi zijazo mpaka huko CAF na FIFA Kwenyewe.
Mwisho nimetaarifiwa kuwa TFF nao wanajipanga Kumuita Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa Mahojiano zaidi ila juu ya Uhuni na Uhujumu wa Kimichezo alioufanya na upo uwezako wa Kupewa Adhabu Kali ambayo itamfanya awe Historia katika Medani za Soka nchini.
Niwaombe tu wana Yanga SC ambao mmejitokeza Kunishambulia katika huo Uzi wa Kumsema Msemaji wenu Haji Manara na Upumbavu alioufanya msiache Kunitukana na Kunidhihaki ila Nguvu ya Uandishi na Uwasilishaji wangu hapa JamiiForums una positive impact katika Jamii, Idara na Taasisi husika na najua tayari Wahusika wengi wameusoma, wameuelewa na sasa wanaufanyia Kazi.
Haji Manara ( Msemaji wa Yanga SC ) hongera sana kwa Kukurupuka na Kuandika ule Upuuzi wako Instagram na kuwa na Ujasiri wa kuwahi Kuufuta ukidhani Watu hawana ila bahati nzuri Watu wanao na ndiyo utatumika katika Kukumaliza Kihukumu kote ambako utaitwa.
Tulikuonya huko nyuma kuwa nenda taratibu utapotea na hao GSM wako wanaokupa Jeuri watakukwepa na Kukutosa yakikukumba hukutuelewa sasa umeshaingia katika 18 za Watu.