Tetesi: Haji Manara kuitwa kwa Mahojiano Polisi huku TFF ikijiandaa kumpiga rungu la uhakika

Tafuta Uzi wa Numero Uno kule katika Jukwaa la Michezo wenye Title isemayo SHOBO YA NINI ameu Screenshot wote, upo na bado hajaufuta / haujafutwa.
Nimeona, sijui akili zile watu wanazitoa wapi?kuna haja ya mamlaka husika kufnmanya wawezalo ili kulinda hadhi ya soka letu pamoja na kuonesha kuwa kuja kucheza mpira kwenye ardhi ya Tanzania siyo kuweka maisha yako rehani.
 
Kwendeni zenu. Alivyokuwa mikiani ilikuwa halali kuongea chochote,kutuhumu chochote. Kuitukana Yanga vyovyote?. Ila sasa ksbb kaondoka huko imekuwa kafara tayari. Akichukuliwa hatua yoyote leo hii hakika nitaamini hii nchi imeoza kwa ushabiki wa kishamba. Pia nitaamini huyu kiongozi wa TFF ni wa ovyo.

Manara ameongea kejeri nyingi sana akiwa mikiani. Matusi ya ovyo. Amezunguka na CD kuwatuhumu sana waamuzi. Yaani leo ksbb kaondoka huko tayari awe ni adui.

Mkuki kwa nguruwe....
Wababa tafadhali hakikisheni mkiwa mnakutana na Wamama kuwapa Mimba muwe mmeshajjridhisha kama mmekula Madini ( Protein na Vitamin ) za kutosha ili mkituzalia Watoto wenu wawe ni Intelligent na wenye Faida kwa Jamii na Nchi na siyo Lipumbavu na Taahira Tukuka kama hili ( huyu ) sawa?
 
Nimeona, sijui akili zile watu wanazitoa wapi?kuna haja ya mamlaka husika kufnmanya wawezalo ili kulinda hadhi ya soka letu pamoja na kuonesha kuwa kuja kucheza mpira kwenye ardhi ya Tanzania siyo kuweka maisha yako rehani.
Ameharibu mno na ameshahatarisha pia Usalama wa Taifa hasa kwa Timu Wageni ambazo zitakuja nchini na hata Athari katika Sekta ya Utalii nayo kwa kiasi fulani imechafuliwa. Aadhibiwe ili iwe Fundisho.
 
Hawa jamaa sijuwi waliokotwa wapi

Ova
 
Aliandika kitu gani?
👇👇👇

B9E2B67A-FE8E-4B38-97A2-58AEDE1B2D3E.jpeg
 
Kwendeni zenu. Alivyokuwa mikiani ilikuwa halali kuongea chochote,kutuhumu chochote. Kuitukana Yanga vyovyote?. Ila sasa ksbb kaondoka huko imekuwa kafara tayari. Akichukuliwa hatua yoyote leo hii hakika nitaamini hii nchi imeoza kwa ushabiki wa kishamba. Pia nitaamini huyu kiongozi wa TFF ni wa ovyo.

Manara ameongea kejeri nyingi sana akiwa mikiani. Matusi ya ovyo. Amezunguka na CD kuwatuhumu sana waamuzi. Yaani leo ksbb kaondoka huko tayari awe ni adui.

Mkuki kwa nguruwe....
kwa mechi gani za kimataifa mlizokuwa mnashiriki alikuw anaandika upuuzi kama huu 👇👇👇

0EDEA8E4-C338-4B8B-B862-4F2259F723F7.jpeg
 
sijaona kama ametaja jina la club zinazohusishwa katika ujinga wake aliouandika, hii inaweza kumsaidia katika tuhuma zinazomkabili.

yote kwa yote anatakiwa afunzwe namna nzuri ya kuwasilisha hoja zake hata kama hazina lengo zuri kwa wapinzani wake, vinginevyo hii tabia itatufanya nchi yetu ionekane ya hivyo kisa mpuuzi mmoja
 
Back
Top Bottom