Tetesi: Haji Manara kuitwa kwa Mahojiano Polisi huku TFF ikijiandaa kumpiga rungu la uhakika

Tetesi: Haji Manara kuitwa kwa Mahojiano Polisi huku TFF ikijiandaa kumpiga rungu la uhakika

Tafuta Uzi wa JamiiForums Member Numero Uno kule katika Jukwaa la Michezo wenye Title isemayo SHOBO YA NINI ame Screenshot kila Kitu ( Upumbavu ) aliouandika huyo Msemaji wa Yanga SC Mwendawazimu Haji Manara.
changamoto inayoleta ukakasi katika kutafsiri kama hii ni uhalisia au ni hisia zako binafsi zenye chuki ndani yake ni pale unapotumia maneno kama "mpumbavu", "mwendawazimu" etc katika kumu adress jamaa.....
 
Hakuna kesi hapo wapi imetajwa Simba
huna akili mbona alifuta kama simba haikutajwa

3F41DBA0-42CF-4A07-AEC3-93BECFCC881F.jpeg
 
Wababa tafadhali hakikisheni mkiwa mnakutana na Wamama kuwapa Mimba muwe mmeshajjridhisha kama mmekula Madini ( Protein na Vitamin ) za kutosha ili mkituzalia Watoto wenu wawe ni Intelligent na wenye Faida kwa Jamii na Nchi na siyo Lipumbavu na Taahira Tukuka kama hili ( huyu ) sawa?
Sawa mama. Ksbb upo wewe mama inatosha. Tutakuzalisha wewe mwenyewe asubuhi na mchana tupate haraka haraka wengi wenye madini
 
Mimi sijui kwanini aliandika, na sijui kwanini alifuta ila wewe mwenye akili niambie Simba imetajwa kwenye paragraph ipi? maana jana kulikua na mechi nyingi
niambie mechi zilizochezwa jana saa kumi jion kwa mkapa ni ngapi hadi assec mimosas wacomment kwenye post ya manara huko Ig
 
Tafuta Uzi wa JamiiForums Member Numero Uno kule katika Jukwaa la Michezo wenye Title isemayo SHOBO YA NINI ame Screenshot kila Kitu ( Upumbavu ) aliouandika huyo Msemaji wa Yanga SC Mwendawazimu Haji Manara.
Na wewe una mamlaka gani ya kumwita mwenzako Mwendawazimu/mpumbavu acheni wivu wa kijinga watanzania unajiona wewe ndio mkamilifu sana eti mwendawazimu
Shame on you
 
Wababa tafadhali hakikisheni mkiwa mnakutana na Wamama kuwapa Mimba muwe mmeshajjridhisha kama mmekula Madini ( Protein na Vitamin ) za kutosha ili mkituzalia Watoto wenu wawe ni Intelligent na wenye Faida kwa Jamii na Nchi na siyo Lipumbavu na Taahira Tukuka kama hili ( huyu ) sawa?
Wewe una chuki binafsi na Manara kijana nakupa angalizo sijui kama umemaliza uzao wako mwogope sana Mungu wako ningekuona wa busara kama ungetumia kauli za Hekima angalia na nawewe unawatoto kijana au utakuja kupata watoto
Nashangaa watu wanaokuunga mkono kwa kauli zako chafu hizi.
 
Huyu jamaa anaishi mjini kwa ajili ya upuuzi upuuzi tu, bahati mbaya Tanzania mambo ya kipuuzi ndio yenye nafasi na kulipa haraka..

Hii taaluma ya usemaji sidhani kama anafit zaidi ya maneno maneno tu ya hovyohovyo...sidhani kama wasemaji wa club zote zenye mafanikio duniani wanapaswa kuwa kama huyu jamaa... Uchawa, Umbeya nk ndio vinavyomuweka mjini
 
Kuna shida gani hapo kataja Jina kama alikua anaimba taarabu zake halafu sijaona tusi hata moja wewe ndio kwanza kutukana unachuki binafsi na haji wewe propaganda za kisoka zipo kila sehemu Nigeria Yanga Feisal alipewa covid Ila baada ya kukomaa akacheza.
Punguza roho mbaya halafu haji akifungiwa wewe utafaidika na nini
 
Manara hajataja mtu wala club. Wale wanaojihisi kua ni wao huenda ndo michezo yao nao tunawaambia acheni michezo hiyo.
 
Back
Top Bottom