Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo ya kumlipa mtu mshahara kwa kuangalia vyeti badala ya kuangalia output ndo yanayolirudisha Taifa hili nyuma sanaKwanza hakuna mshahara unaotosha. Pili yeye anajua hio Ndio stahili inaomfaa. Hivi ana diploma kweli au ana piga domodomo apate kwenda msalani.
Sasa anaondoka Simba aone kama hajaachwa tena na mke huyu.
Hivi Manara hiyo posho ya 700,000 ndo kanunua Harrier ?ndo anayokesha nayo Serena hotel? Alipigwa faini na TFF alipeleka cash mil 5,ye anaongea pumba akipigwa club inamsaidia kulipa faini,isitoshe ni mtu wa kutengeneza uhasama Kati ya club na media maana akiongea ni Kama anaisemea timu.Fvck this shit of manara kailetea simba mahudhurio. Kipindi kile cha mtani jembe alikua anajaza uwanja nani? Simba yenyewe ikifanya vizuri inavuta mashabiki sio ishu ya manara. Tena sasa hivi kuna mitandao ya kijamii sio ishu tena, ukiingia page za timu tu inashawishika. Manara aache ujinga wa kujifanya kabla yake simba haikuwapo. Nimemjua manara baada ya kuja simba.
Suala la malipo manara kawekewa mkataba mezani mpaka leo hajausaini sababu akiamini anastahili zaidi, kaamua kwenda na huo wa posho laki saba na kisha atumie kama kigezo cha anajitolea simba...
Hii ya kumchimba biti boss kachemka sana eti utaondoka simba, umenikuta...who the fvck is he? Kesho atamvimbimbia try again, magori au hata mo..
Unafahamu hata Mohamed Hussein na Shomari Kapombe pamoja na juhudi za kuibeba Simba kwenye matokeo ya uwanjani walikuwa wanapata mshahara wa sh. 2,000,000. Mpaka walipotishia wanahamia Yanga ndio wameongezewa. Kwa hiyo si ajabu Haji Manara kulipwa kiwango hicho cha laki 7.View attachment 1863294
Sote tunaujua mchango wa manara katika soka letu la hapa nchini.
Ni mtu mwenye taaluma na kipaji cha aina yake kinachofanya simba ipige hatua hasa linapokuja swala la kuhudhuria michezo uwanjani, kunogesha ushabiki, kuchangamsha derby, n.k.
Hat simba inapocheza wengi huwa wanafatilia manara kasema nini wenye press confrence, mitandao ya jamii, n.k. wengine hata page za simba hawafatilii wao wanafata page ya manara wa updates zote za simba
Sasa kweli mtu kama huyu analipwaje laki 7 aisee, hizi ni zaidi ya dharau kwakeli,
Binafsi nilijua uwepo wa bosi wake muhindi utafanya asilipwe kulingana thamani yake, nilidhani huenda analipwa walau milioni 2 kinyonyaji maana ukisema umlipe manara kwa stahiki yake halisi basi andaa hata milioi 6 tena hapo ni kizalendo tu, Ila hii ya laki 7 kiukweli ni aibu, fedheha na dharau kabisa, mnyonge mnongeni lakini haki yae mpeni, laki 7 kwa manara ni takataka.
Kuropoka tu Laki 7? Kuna watu wana bahati duniani!!View attachment 1863294

😂😂😂😂Timu ya WANYONGE.
Yanga ni timu ya wazalendo
Tuache ramli, yaani Manara haspati usingizi kila siku ni kuzimia zimia kwa ajili ya club afu wanamlipa laki saba. Huyu mhindi na vimada wake hapo Simba wanatafuna pesa tu. Hili halikubaliki.Siku mishahara Yanga iwekwe hadharani Dah titatafutana akiyanani
kwenda wapi?Arekebishiwe mshahara wakati kasema anaondoka??
Sijui umeongelea utani ama serious ila Instagram yake tu ina worth milioni 10 ama 20. Jamaa akitafuta Mtu wa kumshauri anaweza Ingiza hela kushinda hata vituo vya TV baadhi. Ana influence sana.View attachment 1863294