EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mbona kuna sauti nyingine mpya kasema anajiondokea zake kaongea huku analia kinoumakwenda wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuna sauti nyingine mpya kasema anajiondokea zake kaongea huku analia kinoumakwenda wapi?
Najaribu tu kuwaza,kwamba Klabu inalipa wachezaji mamilioni ya pesa,ina mdhamini tajiri kabisa hapa Afrika leo msemaji wake mkuu analipwa hela ndogo ambayo hailingani na hadhi ya Klabu,ina maana Klabu ndogo zitawalipa kiasi gani?Kwan wasemaj wa klabu izo kubwa wanatakiwa walipwe kias gan?
Anamuinfluence nani, anaweza.kupotea in no time hao followers wengi ni mashabiki wa.SimbaSijui umeongelea utani ama serious ila Instagram yake tu ina worth milioni 10 ama 20. Jamaa akitafuta Mtu wa kumshauri anaweza Ingiza hela kushinda hata vituo vya TV baadhi. Ana influence sana.
Anaenda wapi?qualification ya kazi yake ni nini?Kuropoka ndio alipwe laki 7?kama wanampenda stahiki yake ni 150,000/-kima cha chini cha serikali.Mbona kuna sauti nyingine mpya kasema anajiondokea zake kaongea huku analia kinouma
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] ndio tabia zenuAnaenda wapi?qualification ya kazi yake ni nini?Kuropoka ndio alipwe laki 7?kama wanampenda stahiki yake ni 150,000/-kima cha chini cha serikali.
Manara alipwe laki 7 kwa kazi gani hebu tuongee ukweli![emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] ndio tabia zenu
Msemaji wa timu kubwa EAManara alipwe laki 7 kwa kazi gani hebu tuongee ukweli!
yule laki mbili hastahiliMsemaji wa timu kubwa EA
Nilikuwa nasearch neno Nyumba sasa hivi wakati naandika hio comment, kabla sijamaliza Google wameniletea suggestion hiziAnamuinfluence nani, anaweza.kupotea in no time hao followers wengi ni mashabiki wa.Simba
Sa analalamikia 700k yanini wakati anaweza kugenerate millionsNilikuwa nasearch neno Nyumba sasa hivi wakati naandika hio comment, kabla sijamaliza Google wameniletea suggestion hizi
-Nyumba ndogo
-Nyumba ndogo zuchu
Hayo ndo mambo yetu tunayopenda Tanzania, Manara anawakilisha Watanzania Wengi sana, dhihaka zake, umbea, kuongea mambo bila kufanya tafiti etc.
MO instagram ana follower milioni 2.7 ila Manara ana 3.3M,
Manara hata aondoke Simba as long as anabakia kuwa yeye na kuongea zile pumba zake ana uhakika wa kutoboa.
Account za kawaida followers 100k mpaka 1m wanacharge around 30,000 kwa Tangazo, Manara anaweza aka charge hata laki. Anaweza aka post Tangazo moja Tu kwa siku na uhakika a kapata 1m mpaka 3m kwa mwezi. Na As long as hilo Tangazo unauza kitu ambacho mshabiki wa Simba anaweza kununua uhakika Hela yako inarudi.
Endelea kupiga domoWahindi ni wanyanyasaji sana.
Kwani kabla yake alikuwa analipwa kiasi gani na nani alikuwa anamlipaHuyu muhindi janjajanja sana, huko viwandani kwake wafanyakaz wanalalamika sana suala la mishahara midogo
Waliokimbia umande hawawezi kukuelewaNinachojua mshahara huwa unaendana na ELIMU/CV na sio huruma kuwa unafanya kazi sana au unaongea sana.
Swali nzuri labda Mwadui fckwenda wapi?
mimi ni mwanayanga, semeni yoote lakini manara amekuwa wa faida sana simba, ameipambisha sana hiyo timu yenu na kuwatia moyo hata wakati mlipokuwa mnakata tamaa. kwahiyo mshahara kama ndio huo mnampa jueni anajitolea tu hapo. kuweni na utu. ondoeni mtu huyo mmuweke mwingine muone kama ataleta hamasa kama anazoleta huyo kwenye icho kitimu chenu.View attachment 1863294
Sote tunaujua mchango wa manara katika soka letu la hapa nchini.
Ni mtu mwenye taaluma na kipaji cha aina yake kinachofanya simba ipige hatua hasa linapokuja swala la kuhudhuria michezo uwanjani, kunogesha ushabiki, kuchangamsha derby, n.k.
Hat simba inapocheza wengi huwa wanafatilia manara kasema nini wenye press confrence, mitandao ya jamii, n.k. wengine hata page za simba hawafatilii wao wanafata page ya manara wa updates zote za simba
Sasa kweli mtu kama huyu analipwaje laki 7 aisee, hizi ni zaidi ya dharau kwakeli,
Binafsi nilijua uwepo wa bosi wake muhindi utafanya asilipwe kulingana thamani yake, nilidhani huenda analipwa walau milioni 2 kinyonyaji maana ukisema umlipe manara kwa stahiki yake halisi basi andaa hata milioi 6 tena hapo ni kizalendo tu, Ila hii ya laki 7 kiukweli ni aibu, fedheha na dharau kabisa, mnyonge mnongeni lakini haki yae mpeni, laki 7 kwa manara ni takataka.