Haji Manara kulipwa mshahara laki 7 ni aibu na unyonyaji, arekebishiwe

Kwan wasemaj wa klabu izo kubwa wanatakiwa walipwe kias gan?
Najaribu tu kuwaza,kwamba Klabu inalipa wachezaji mamilioni ya pesa,ina mdhamini tajiri kabisa hapa Afrika leo msemaji wake mkuu analipwa hela ndogo ambayo hailingani na hadhi ya Klabu,ina maana Klabu ndogo zitawalipa kiasi gani?
 
Baada ya kusema atasambaza audio ile, leo anamlaumu Barbara kwa kuisambaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijui umeongelea utani ama serious ila Instagram yake tu ina worth milioni 10 ama 20. Jamaa akitafuta Mtu wa kumshauri anaweza Ingiza hela kushinda hata vituo vya TV baadhi. Ana influence sana.
Anamuinfluence nani, anaweza.kupotea in no time hao followers wengi ni mashabiki wa.Simba
 
Mbona kuna sauti nyingine mpya kasema anajiondokea zake kaongea huku analia kinouma
Anaenda wapi?qualification ya kazi yake ni nini?Kuropoka ndio alipwe laki 7?kama wanampenda stahiki yake ni 150,000/-kima cha chini cha serikali.
 
Anaenda wapi?qualification ya kazi yake ni nini?Kuropoka ndio alipwe laki 7?kama wanampenda stahiki yake ni 150,000/-kima cha chini cha serikali.
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] ndio tabia zenu
 
Kweli lile povu ni la laki saba, haiwezekani hata mimi ningemind
 
Anamuinfluence nani, anaweza.kupotea in no time hao followers wengi ni mashabiki wa.Simba
Nilikuwa nasearch neno Nyumba sasa hivi wakati naandika hio comment, kabla sijamaliza Google wameniletea suggestion hizi
-Nyumba ndogo
-Nyumba ndogo zuchu

Hayo ndo mambo yetu tunayopenda Tanzania, Manara anawakilisha Watanzania Wengi sana, dhihaka zake, umbea, kuongea mambo bila kufanya tafiti etc.

MO instagram ana follower milioni 2.7 ila Manara ana 3.3M,

Manara hata aondoke Simba as long as anabakia kuwa yeye na kuongea zile pumba zake ana uhakika wa kutoboa.

Account za kawaida followers 100k mpaka 1m wanacharge around 30,000 kwa Tangazo, Manara anaweza aka charge hata laki. Anaweza aka post Tangazo moja Tu kwa siku na uhakika a kapata 1m mpaka 3m kwa mwezi. Na As long as hilo Tangazo unauza kitu ambacho mshabiki wa Simba anaweza kununua uhakika Hela yako inarudi.
 
Sa analalamikia 700k yanini wakati anaweza kugenerate millions
 
Kuna wasemeaji wa Manara humu, majungu kiwango cha lami.
Kuna kipindi Simba walitaka kumpuzisha Manara kwa kumpa nafasi nyingine akalilia sasa sijui issue ilikuwa mshahara au alitaka abakia kwenye nafasi yake, leo naona wazee wa fitina na majungu sijui wametumwa au wamejituma.
Maisha ni rahisi tu kama sehemu haifai unatafuta issue nyingine kwa alizaliwa napo.
 
Huyu muhindi janjajanja sana, huko viwandani kwake wafanyakaz wanalalamika sana suala la mishahara midogo
Kwani kabla yake alikuwa analipwa kiasi gani na nani alikuwa anamlipa
 
hilo zezeta acha lipigwe lilikuwa lina kiburi sana
Team lenyewe la matapeli hilo la nini.. Mchepuko na bosi ndio Wamiliki
 
mimi ni mwanayanga, semeni yoote lakini manara amekuwa wa faida sana simba, ameipambisha sana hiyo timu yenu na kuwatia moyo hata wakati mlipokuwa mnakata tamaa. kwahiyo mshahara kama ndio huo mnampa jueni anajitolea tu hapo. kuweni na utu. ondoeni mtu huyo mmuweke mwingine muone kama ataleta hamasa kama anazoleta huyo kwenye icho kitimu chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…