Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

Manara anadai Karia alimtaka akamuombe msamaha nyumbani kwake, wapige picha na azungumze na waandishi wa habari. Manara amesema picha aliyoweka mtandaoni ilipigwa na mtoto wa Karia
🤣🤣🤣
 
Asifiche sana hapa ilitamkwa na Rais wa Tifitifu kwamb "Ingawa mmeshinda lakini chupi zenu zemerowa ma*i"
 
Nashangaa na mie hapo tyuuh.
 
Me naona jamaa bora angekaa kimya tu akaenda kukata rufaa kimya kimya huenda mambo yangekwisha ila had hapo alipofikia sdhan kama kuna kiongoz wa serikal atasimama na kumtetea manara na akaikosoa au kuichafua TFF hata kama itakuwa ina makosa kias gan.
 
Si akate rufaa tu.Najiuliza hivi kwenye kamati ya maadili hakupewa nafasi ya kujitetea au kamati hiyo hufanya maamuzi kutokana na maelezo ya mlalamikaji tu bila kumsikiliza mlalamikiwa? Na jee kamati ya maadili ndiyo yenye uamuzi wa mwisho? Hakuna ngazi ya rufaa dhidi ya maamuzi ya kamati ya maadili?
 
Sasa haya mambo aliyo zungumza ndo ilitakiwa akate rufaa, akiambatanisha na nakala au kielelezo chenye shutuma hizi. Kwann aongee na vyombo vya habari, akati taratibu na kanuni zipo wazi na alipewa nafasi ya kufanya hivyo.

Kwahiyo baada ya penalties kupigwa, ndo akatoka huko hotelin hadi uwanjan na kumfata katibu wa TFF akiwa na sigara ya embassy na kiberiti cha gas na kuanza kuropoka maneno machafu kuhusu Rais wa TFF?? Sijaona sehemu akikana mashtaka yanayomkabili zaidi ya kuongea visivyo na mantiki.

Hapa anataka kutafuta huruma kwa raia na anajua atawachota wengi, sheria ifuate mkondo wake.

Kudai haki bila kutimiza wajibu ni Fujo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…