Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

Sijui nani aliwafundisha hilo neno "burandi"
Utakuta mtu kazi yake kuliwa kiboga tu mjini hapo anakwambia nna burandi yangu nimeikuza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sw
Screenshot_20220725-174626_Facebook.jpg
 
TFF ni aibu tupu ndio maana soccer haiendelei, hope kuna namna ya kukatia rufaa huu upuuzi wa TFF.

Nchi zilizoendelea na soka zinakua na type ya wapiga kelele kama huyo jamaa? Taja mifano ya nchi hizo.
Hatuwez kuendelea kwenye sekta ya michezo hasa mpira kama tutaendelea na mambo ya hovyo ya kizamani, uhamasishaji maandazi nk
 
Hamjitambui nyie, utawala wa CCM umewaharibu mmezoea kufungwa midomo na nidhamu za woga, huyo mjinga mwenzenu katukanwa personally kaamua kutumia cheo cha TFF kulipa kisasi, TFF haikutakiwa kabisa kuhusika na huu ujinga, Karia angeenda mahakamani kushtaki sio kutumia TFF kwa sababu ana cheo, angekuwa sio chairman wa TFF usingesikia chochote, matumizi mabaya ya vyeo vya kijinga na ndio kuua soccer huko
 
TFF ni aibu tupu ndio maana soccer haiendelei, hope kuna namna ya kukatia rufaa huu upuuzi wa TFF.
kwa Simba soka inaendelea, na hata kwa taifa maana hatukuzoea kabisa kusikia timu za taifa walau mojawapo ikaenda ngazi ya Afrika na dunia
 
Hamjitambui nyie, utawala wa CCM umewaharibu mmezoea kufungwa midomo na nidhamu za woga, huyo mjinga mwenzenu katukanwa personally kaamua kutumia cheo cha TFF kulipa kisasi, TFF haikutakiwa kabisa kuhusika na huu ujinga, Karia angeenda mahakamani kushtaki sio kutumia TFF kwa sababu ana cheo, angekuwa sio chairman wa TFF usingesikia chochote, matumizi mabaya ya vyeo vya kijinga na ndio kuua soccer huko
Nadhani haufahamu na pengine hautaki hata kujishughulisha kufahamu kwamba Manara ameshtakiwa na nani na amehukumiwa na nani. Karia angetaka kumshtaki, hiyo ingekuwa ni kesi nyingine, ila hajataka na wala halazimishwi na mtu kushtaki mahakamani. Hivi ukiua mtu unadhani Jamhuri itakaa kimya kusubiri hadi ndugu wa marehemu wakushtaki?
 
Siku zote mwizi akiibiwa huwa anaumia sana, Kwa upande wa Manara mimi binafsi simuhurumii kwasababu yeye ndiye anaongoza Kwa kuwachafua na kuwatukana watu wasio nahatia, kwahiyo nayeye atulie tena awemtulivu wakati sindano inaingia.
 
Back
Top Bottom