Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

Kuna siku nilimkuta posta mpya kwenye foleni kabla Mo hajaja Simba kapo kwenye Suzuki imechoka kameloa jasho sijui hata km ile gari ilikuwa na AC hadi nikamuonea huruma eti leo anabrand [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah kweli hamnazo.
maisha hayapo hvyo mtu leo omba omba kesho ni boss
 
Anapenda lazimisha vitu, bila kujua athari kwake na Yanga
 
Kwani amezuiwa kukata rufaa dhidi ya hukumu aliyopewa?Au na yeye ndio ameingia kwenye kundi lile alilowahi kusema kuwa hawana akili isipokua watu wawili tu Jk kikwete na Sunday manara!
Mkuu unakata rufaa huna nakala ya hukumu na ukiomba hupewi unakata vp

Umemsikiliza malalamiko yale juu ya kukata rufaa lakini
 
Huyu jamaa anajipa umuhimu ambao hana.

Kuwa msemaji wa timu its nothing.

Watu wa muhimu kwenye timu ni wachezaji na kocha.

Mtu yeyote anaweza kuwa msemaji wa timu na wenzetu huko Ulaya Mwalimu ndio msemaji wa timu.

Haya mambo ya kina manara ni upotevu tu wa muda na ujinga uliokithiri.
 
Manala Bugati mjinga uccm umeponza pia huyo Popoma karia naye hamna kitu .
 
Manara ajipange na rufaa tu, haya mengine hayatampunguzia adhabu.
 
Duh kumbe tajiri kubwa inaula huu ubwabwa!!!!!
Si wanagombana na mashavu mbonyeo, tangu aingie pale yaan anavuruga kila kitu, kabwili aliyemuangamiza nan? Si takadini kisa kumgombania Tonombe,. Na tonombe mwenyewe kasepa zake

Huyu Takadini ana stress na majuto moyoni. Anaishi kwa kufake uhalisia, bas anaiishia kuvuruga wenzake, khaaaah.
 
Yaan wewe khaa
 
Back
Top Bottom