Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

Halafu lile tukio ni yeye binafsi na kiongozi wa Tff,lakini kwenye press yake anajifichia kwenye timu ya Yanga na viongozi wake, huyu jamaa anajiona yeye ndio mwamba wa kuongea, hapa Tff wanatakiwa wamuadhibu tena adhabu kali sana
 
Manara anajifanya very special,haguswi bali anachoongea yeye ni sahihi kwa chochote.
Uyu wakimrusha kichura mara mbili hutamsikia tena kwenye media.
 
Hiyo brand kajijengea au kajengewa na Simba na Mo,kabla Mo hajaja hapo alikuwa mtu wa kawaida tu
Kabla ya Mo kuja Simba huyu bwege haya ndiyo yalikuwa maisha yake,ukizoom utaona mkono wa kushoto(mkono wa mavi) ambekumbatia viandazi ambavyo aliviiba
IMG-20210908-WA0004.jpg
 
Si akate rufaa tu.Najiuliza hivi kwenye kamati ya maadili hakupewa nafasi ya kujitetea au kamati hiyo hufanya maamuzi kutokana na maelezo ya mlalamikaji tu bila kumsikiliza mlalamikiwa? Na jee kamati ya maadili ndiyo yenye uamuzi wa mwisho? Hakuna ngazi ya rufaa dhidi ya maamuzi ya kamati ya maadili?
Aliitwa mara ya kwanza hakwenda, mara ya pili hakwenda bali walienda wawakilishi wake. Wawakikishi wake walisema wameagizwa wasiongee chochote bila ya yeye mhusika kuwepo. kamati ikakaa ikatoa hukumu.
 
Back
Top Bottom