CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hapa sasa albino kajitia dole yeye mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeomba ukanyimwa?Unakata rufaa vp ukiomba nakala ya hukumu hupewi
Mimavi FC kudadadeq zaoMimi nilikuwa nasema kila siku Yanga tuone huo mwiko nyuma hamtaki haya ona manara anasema mwiko umetoka na vinyesi
Kabla ya Mo kuja Simba huyu bwege haya ndiyo yalikuwa maisha yake,ukizoom utaona mkono wa kushoto(mkono wa mavi) ambekumbatia viandazi ambavyo aliviibaHiyo brand kajijengea au kajengewa na Simba na Mo,kabla Mo hajaja hapo alikuwa mtu wa kawaida tu
Kwani kamati ndio imemuhukumu au sheriaIle kamati inateuliwa na Karia. Sasa hapo unategemea nini ?
Zimetekelezwa sheria na sio utaifa/udini wala ukabila wa mtuWasomali wana roho mbaya.
Hahaaaa mwiko umepakua urojoooMimi nilikuwa nasema kila siku Yanga tuone huo mwiko nyuma hamtaki haya ona manara anasema mwiko umetoka na vinyesi
Watakuja kukujibu, subirituulizane.siku ya fainali ya Coastal na Yanga je'ni kweli mashabiki wa Yanga walikua na kinyesi kwenye makalio?,tuanzie hapo kwanza!
Aliitwa mara ya kwanza hakwenda, mara ya pili hakwenda bali walienda wawakilishi wake. Wawakikishi wake walisema wameagizwa wasiongee chochote bila ya yeye mhusika kuwepo. kamati ikakaa ikatoa hukumu.Si akate rufaa tu.Najiuliza hivi kwenye kamati ya maadili hakupewa nafasi ya kujitetea au kamati hiyo hufanya maamuzi kutokana na maelezo ya mlalamikaji tu bila kumsikiliza mlalamikiwa? Na jee kamati ya maadili ndiyo yenye uamuzi wa mwisho? Hakuna ngazi ya rufaa dhidi ya maamuzi ya kamati ya maadili?
Kwahiyo unataka kusema Manara hana kosa hakukosea ameonewa.Ile kamati inateuliwa na Karia. Sasa hapo unategemea nini ?
Kwann hamtaki kumpa nakala ya hukumu shida niniKwahiyo maendeleo ya soka yatapatikana kwa kulea na kuwafumbia macho wapumbavu kama Manara??
Kwann karia hajaitwa wewe from know where unaeza kumrushia maneno mtu ..?Kwahiyo unataka kusema Manara hana kosa hakukosea ameonewa.
Ushabiki tuuFungia hilo domo..
Anaona kuwa Simba au Yanga.. Ni kinga dhidi ya sheria.. Tena ikiwezekana aadhibiwe tena kuto kanyaga viwanjani..
Turudi kwenye point nani alimuanza mwenzieHakumjibu, sasa ile video sauti haisikiki lakini anaonekana anamkoromea mtu huku anazuiwa na watu ilikuwaje.. Bado hajajitetea kimantiki
Atarudi kwao somaliaWasomali wana roho mbaya.