Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Chezea mutoto ya mujini wewe!
Unaweza ukawa na mielimu yako, mipesa yako, lakini ukazidiwa talanta na mtoto wa mjini.

Tulio zaliwa Dar- es Salam mikono juu.

Wa mikoani endeleeni kutuita "waswahili" lakini ndio hivyo tena, bila kuja kwetu nyinyi ni bure.
 

Haji hana akili press nzima ni barbra tu? Kweli mwanaume huyu



Mzee tozi njoo uchukue mtu wako huku
 
Anafaidika nini kwenye haya yote?
Haoni Azam TV ndiye mtu kati
kabisa, unavyoichafulia sifa kampuni au mtu uliyefanya nae kazi, Inakuonesha wewe zaidi ni mtu wa aina gani kuliko huyo unaemtukana. Mbaya zaidi makampuni yanajali sana brand na huwa makini sana kutojihusisha na watu wanaoweza kuwaharabia reputation yao

Kwa hiyo katika hili Manara kuna vitu pia anaweza kupoteza in the long run
 
Kunashida kubwa mahili ila muda utaweka hili bayana
 
Hamna kinachotuuma Mkuu ila tuliwashangaa mlivyoukataa ukweli.
Kama tumepigwa ni sie, kama mmepata nyie donge nono endeleeni nalo. Shida hapo ni gani mazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…