mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Mjipange Mo na Barbara wapo sana Simba! Ambaye katoka mmeshamjua nadhani.Kwanini ugomvi wa MO na Barbara unaufanya kua ugomvi wa simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjipange Mo na Barbara wapo sana Simba! Ambaye katoka mmeshamjua nadhani.Kwanini ugomvi wa MO na Barbara unaufanya kua ugomvi wa simba
Akae kimya huoni hiyo circle ya upuuzi itaendelea?Kukaa kimya nako ni busara.
Ila nyie mashabiki si mnaruhusiwa Mtani? 🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️Simba haiwezi kumjibu. ikimjibu na wao akili zao zitakuwa pungufu. mpuuzi ni kumpuuza
Ni ngumu mtu mmoja awe na sintofaham na watu wengi hivyo
Mara hans pope mara barbara huku mo dewji
Akae kimya huoni hiyo circle ya upuuzi itaendelea?
Haji kafanya kitendo cha kishujaa, wanaSimba inapaswa tumpongeze kwa kutuonyesha upuuzi unaoendelea klabuni
Huyo Barbra nilimshtukia kwenye ishu ya Mkude nikajuwa tu atakuwa na uswahili mwingi sana huyo
Hapana ugomvi wa mo na wa haji ni wakibiashara zaidi hauna uhusiano na club yetu sisi ni soka tuMjipange mo na Barbara wapo sana Simba! Ambaye katoka mmeshamjua nadhani.
Rekebisha ulichokiandika kisha njoo tena mkuu.Hiono mabaunsa wamemzungika?[emoji16]
Kwahiyo mkuu ulitaka awataje hata wasiohusika?Haji hana akili press nzima ni barbra tu? Kweli mwanaume huyu
Mzee tozi njoo uchukue mtu wako huku
🤣 Mtani leo naona kinyonge zaidi.Sikuwahi kufikiria kama Azam Tv ni wapuuzi kiasi hiki.
kabisa, unavyoichafulia sifa kampuni au mtu uliyefanya nae kazi, Inakuonesha wewe zaidi ni mtu wa aina gani kuliko huyo unaemtukana. Mbaya zaidi makampuni yanajali sana brand na huwa makini sana kutojihusisha na watu wanaoweza kuwaharabia reputation yaoAnafaidika nini kwenye haya yote?
Haoni Azam TV ndiye mtu kati
Hamna kinachotuuma Mkuu ila tuliwashangaa mlivyoukataa ukweli.Sasa nyie kinawauma nini? Simba Ina fedha( in manara voice).
Yep 💯💯💯Wote tunaipenda Simba lakini nakuhakikishia Barbra is a ticking bomb, kuna siku tutakuja kulia
Kama tumepigwa ni sie, kama mmepata nyie donge nono endeleeni nalo. Shida hapo ni gani mazeeHamna kinachotuuma Mkuu ila tuliwashangaa mlivyoukataa ukweli.