Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Chezea mutoto ya mujini wewe!
Unaweza ukawa na mielimu yako, mipesa yako, lakini ukazidiwa talanta na mtoto wa mjini.

Tulio zaliwa Dar- es Salam mikono juu.

Wa mikoani endeleeni kutuita "waswahili" lakini ndio hivyo tena, bila kuja kwetu nyinyi ni bure.
 
Akae kimya huoni hiyo circle ya upuuzi itaendelea?

Haji kafanya kitendo cha kishujaa, wanaSimba inapaswa tumpongeze kwa kutuonyesha upuuzi unaoendelea klabuni

Huyo Barbra nilimshtukia kwenye ishu ya Mkude nikajuwa tu atakuwa na uswahili mwingi sana huyo

Haji hana akili press nzima ni barbra tu? Kweli mwanaume huyu



Mzee tozi njoo uchukue mtu wako huku
 
Anafaidika nini kwenye haya yote?
Haoni Azam TV ndiye mtu kati
kabisa, unavyoichafulia sifa kampuni au mtu uliyefanya nae kazi, Inakuonesha wewe zaidi ni mtu wa aina gani kuliko huyo unaemtukana. Mbaya zaidi makampuni yanajali sana brand na huwa makini sana kutojihusisha na watu wanaoweza kuwaharabia reputation yao

Kwa hiyo katika hili Manara kuna vitu pia anaweza kupoteza in the long run
 
Sijawahi kumuamini kanjibai...
FB_IMG_16271509416106015.jpg
 
Kunashida kubwa mahili ila muda utaweka hili bayana
 
Back
Top Bottom