Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Najaribu kumjaji mtu kama individual sio kwa utaifa au kabila lakekwan hujawahi kufanya kazi kwa wahindi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kumjaji mtu kama individual sio kwa utaifa au kabila lakekwan hujawahi kufanya kazi kwa wahindi?
Endeeleni kufua chupi za Mwamedi mkija kushtuka ishakula kwenu.Baada ya kumsikiliza Haji nimeanza kuwa na mashaka na Barbara
Only time will tell
CEO ambaye ana-micromanage watu walioko chini yake hana hadhi huo uwadhifaUna Amin maneno ya huyo domokaya?
Na nyie endeleeni kumbeba msomali ligi ikianza lawama kwa TFFEndeeleni kufua chupi za Mwamedi mikija kushtuka ishakula kwenu.
Hicho watajifanya hawakioni.Iko kiparagraph cha mwisho kabisa kuna watu walikipinga kwamba Barbara hajasaini mkataba na Azam kumbe ndo ukweli wenyewe. Aisee
Haya kataeni wale wa kukataa. Mnapigwa.
Kumbe kwa Mkataba wa Simba na Azam ulishasainiwa kwa kiwango cha 350ml kwa Mwaka? Kweli nawapa hongera timu yangu Yanga ikiingozwa na Dr Msolla kwa bargaining power waliyonayo.
Kwani Mwamedi alikuwa na Mamlaka ya Kumfukuza Moja Kwa Moja Haji?Yani Mo kumfukuza Haji mpaka apitie kwa Senzo,huu ni uongo Haji ni muongo muongo sio wakuamini hata kidogo.
Kama angekua makini kwa uozo na mizengwe yote aliyoiona akiwa pale Simba kwanini hakusema kabla ya kufukuzwa?
Sisi wengine tulipokuwa tunasema haya tuliitwa Mamluki wa UtopoloAliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu Kongwe ya Simba Sports Club leo hii anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu ya Masuala mbalimbali ikiwemo ya yeye kuondoshwa katika klabu ya Simba....