Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Kama demu vile mkiachana anaanza kutangaza mara kibamia mara nini. Anyway ila hii itatusaidia kukaa kwenye reli.

Hakuna kinachotokea Bila purpose. Viongozi wangu wa Simba wamesikia penye mushkeli patarekebishwa. Ila hata hivyo walimlea sana.
 
Manara ANAUPIGA Huku
Screenshot_20210804-130122_Instagram.jpg
 
Yani Mo kumfukuza Haji mpaka apitie kwa Senzo, huu ni uongo Haji ni muongo muongo sio wakuamini hata kidogo.

Kama angekuwa makini kwa uozo na mizengwe yote aliyoiona akiwa pale Simba kwanini hakusema kabla ya kufukuzwa?
 
Yani Mo kumfukuza Haji mpaka apitie kwa Senzo,huu ni uongo Haji ni muongo muongo sio wakuamini hata kidogo.
Kama angekua makini kwa uozo na mizengwe yote aliyoiona akiwa pale Simba kwanini hakusema kabla ya kufukuzwa?
Kwani Mwamedi alikuwa na Mamlaka ya Kumfukuza Moja Kwa Moja Haji?
 
Back
Top Bottom