Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Hua najiuliza mara kwa mara; katika masuala ya uwekezaji wa Hisa. Mwenye maamuzi makubwa ni yule mwenye hisa nyingi au? ukiangalia ata timu za wenzetu huko majuu.
Huku kwetu mbona Mo akiye na hisa 49% ananguvu kuliko Simba yenye 51%ni kwanini?
Inafikirisha sana.
 
Mo Dewji aliwahi kunipigia simu akaniambia watu wanasema nimekuwa maarufu kuliko yeye hivyo anataka kunitoa Simba"

[emoji867]vitu vingine na chumvi imezidi
Utoto mwingi Sana kaonyesha Apo[emoji3525]

Hajji kajiharibia na kujivunji heshima sana,
 
Haji manara ni wale aina ya watu ambao wana vijiba vya roho [emoji28] hapendi upate na ukiwa nacho hapendi umzidi[emoji28]!

Kinachotokea kwa kuwa ameporwa askirimu yake pale simba sc basi ameamua kuwapaka choo tu akina Mo na Babra maana ndio kitu pekee kitampa relief...Ndo yale yale wanasemaga wadau wa mapenzi ukiachwa achika yani Manara anatapatapa haamini kama ametemwa. Anapenda aonewe huruma sana yani aonekane anaonewa ni mlalamikaji sana[emoji28]

Haji ana Kiroho cha Kinyongorilo japo napenda uhamasishaji wake ila ana tatizo hilo!
Haji kaonyesha utoto Sana.

Amekua Kama Aina ile ya wanawake ukimuacha, anakutangazia una kibamia
 
Kwani mbona kuna mazuri mengi ameyasema?yaani taasisi zote zinafanana kwenye kudhurumu haki za wafanyakazi?sio kweli , mmemtumikisha miaka sita bila mkataba, maadili gani hayo ya kazi ya kumnyonya mfanyakazi?!!kwa nchi hii manara kwa sasa hawezi kukosa kazi kamwe!!!
Haji asitafute huruma mtandaoni,

Haji alikua anakwepa mwenyewe kusaini mkataba ili awe huru KUFANYA KAZI Nje ya Simba.

Haji uyu uyu ingekua inamuuma Basi angesharopoka sikU mingi sana
 
Manara ashakataa akutoa voice note,alimpigia babra kumbe akawa anarekodi na alivyo akujibu chochote,babra ndio kavujisha na kwa mujibu ile voice note ilikua ya muda mrefu

Mbona anasema kila akimpgia Barbara anamwambia I' ll call you back atamrecord vipi hapo?
Pia kwenye voice note zake alisema atasambaza kwenye magroup ya viongozi na wanachama wajue pia ni muda mrefu? Tumia akili yako
 
Pata picha Buroo Manara akiachana na mke wake??

Mke wake wa kwanza aliachana nae mbona alimwanika sana
Unashangaa mwanaume na balls zake anamnaga mwanamke huyu mtu vipi
 
Wewe ni kichaa sijui hata umewahi kuajiriwa Ukasoma walau clause ya Conflict of interest.

Muwekezaji au mdhamini yoyote lazima akubane wewe unaedhaminiwa usiingie kwenye conflict of interest.

Leo ukienda kuomba udhanini Pepsi wa ndondo cup yako lazima watakwambia mashindano yako yasidhaminiwe na kinywaji chochote Baridi.


Mo Kama mdhamini Wa Simba lazima awabane anaowadhamini kuwa waajiri wake wasimuharibie biashara ?


Sportpesa anidhamini Simba unataka kusema Manara anaweza kuchukua dili la M-Bet?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Kwa kifupi tu jezi zetu wakti wa michuano ya klabu bingwa Afrika
Logo ya sportpesa ilikuwa haipo hebu mfafanulie na hapa uyo nyumbu
 
Hata hao Azam atakaofannya nao kazi watakuwa hawamuamini kivile kiufupi Manara kajiharibia sana tu
Atakuwa anapewa habari nyepesi nyepesi wanajua wakimpa habari nzito siku akiondoshwa atawaweka u chi!
Nalog off
 
Bi Shadeeya tuambie huo mkataba aliosaini babra ni wa thamani gani na ni wa miaka mingapi?
Kwenye huo uzi ukisoma vizuri papo pameandikwa.
20210805_072036.jpg
 
Mbona waajiriwa weusi wote pale Simba Wana mikataba , umewahi kusikia mtu mwingine wa Simba analalamikia issue ya mishahara na mikataba tofauti na Haji , kuanzia HR, Technical bench , wachezaji Hadi Finance Department.

Kwanini ni Haji tu ?

Kaa chini ujiulize kwanini ni Haji tu

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hadi wachezaji ni weusi na wananamikataba huyu haji ni pumbavu
 
Matokeo ya uwanjani ndio yamewafumba macho mikia,soon watajua hawajui
Swahiba wanajiitaga wazee wa Makombe. Teh teh.

Barbara baada ya mechi ya ASFC final alipohojiwa akasema ukichagua kufungwa kwenye ligi na kombe mie nachagua kombe. 🤣🤣🤣
 
Swahiba wanajiitaga wazee wa Makombe. Teh teh.

Barbara baada ya mechi ya ASFC final alipohojiwa akasema ukichagua kufungwa kwenye ligi na kombe mie nachagua kombe. 🤣🤣🤣
Tunawasubiri kwa hamu ngao ya hisani swahiba 😀
 
Huyu mpuuzi MO anataka kujiuzuru,

Sijawahi kuona tajiri mjinga mjinga kama huyu asee

Tajiri gani usiyetaka kuhojiwa?

Mzee kilomoni aliona mbali mno

Au anajua wanachama wa Simba ni wajinga wajinga tu asee

Kila siku unalalama hupati faida, kwanini bado uko Simba?

Inabidi tuanze kuhoji mapato na matumizi, ili kama ni kweli unapata hasara tukushauli uondoke.
 
Huyu mpuuzi MO anataka kujiuzuru,

Sijawahi kuona tajiri mjinga mjinga kama huyu asee

Tajiri gani usiyetaka kuhojiwa?

Mzee kilomoni aliona mbali mno

Au anajua wanachama wa Simba ni wajinga wajinga tu asee

Kila siku unalalama hupati faida, kwanini bado uko Simba?

Inabidi tuanze kuhoji mapato na matumizi, ili kama ni kweli unapata hasara tukushauli uondoke.
Anapenda kutishia kususa sana. Na anafanya hivyo kwakuwa anajua viongozi wengi ni njaa tu. Tangu lini mfanya biashara tena wa aina yake afanyie hasara.
 
Mambo ya kitanzania na watanzania wenyewe si ya kuyawekea sana maanani. Ni kupuuza na kuendelea na hamsini zako.

Every coin has two sides!
 
Back
Top Bottom