Haji manara na Bumbuli walitumwa na GSM kufanya press ili kuzima story za kuvunja mkataba

Haji manara na Bumbuli walitumwa na GSM kufanya press ili kuzima story za kuvunja mkataba

Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu
Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki wa kabwili bwana manara na bumbuli ili watutoe kwenye reli,
Walipeni timu 15 pesa zao walivyotangaza magodoro yenu kwa miexi mitatu
Kwa taarifa yako gsm wamwvunha mkataba baada ta kuwaandikia tff warekebishe dosari ya mkataba na tff hawajufanya,na wamezingatia mkataba unavyosema ndipo wakavunha haeana kosa hata moja

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ile press lengo lake ni kuzima blunders za maboss wao! Unfortunately wachambuzi na media zimeuvaa huo mtego. Wahariri hata kama bahasha zikipita kuleni then mjadala uendelee! Janja janja za kizamani sana
 
Sio kuzima magoli ya michongo mliyopewa makolo huku mwananchi akinyimwa nafasi ya goli halali kabisa??
 
Sawa basi sosi timu 15 tulipwe chetu
Achana na hayo madai hewa. Ungeanza kudai zile bilioni 20 kwanza alizo waahidi yule bilionea wenu wa Forbes!

Alishaziweka tayari kwenye akaunti ya timu? Au ndiyo stori ni zile zile za Chupli Chupli! Kuch kuch hotahe!!
 
Kashaweka mzigo
 
Ile press lengo lake ni kuzima blunders za maboss wao! Unfortunately wachambuzi na media zimeuvaa huo mtego. Wahariri hata kama bahasha zikipita kuleni then mjadala uendelee! Janja janja za kizamani sana
Kwa mfano hapo janjajanja ipo wapi?
 
🐒

1490717504246853635.png
 
Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu
Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki wa kabwili bwana manara na bumbuli ili watutoe kwenye reli,
Walipeni timu 15 pesa zao walivyotangaza magodoro yenu kwa miexi mitatu
[https://res]

MWENYEKITI wa Bodi ya Ligi Kuu Bara, Steven Mnguto, ameibuka na kusema licha ya wadhamini wenza Kampuni ya GSM kutangaza kujiondoa katika udhamini lakini hakuna klabu yoyote iliyolipwa.

Kauli hiyo imekuja ikiwa ni siku moja tangu GSM watangaze kujiondoa kudhamini klabu za ligi ambazo awali waliingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh 2.1Bil.

Akizungumza na Championi Jumatano, Mnguto alisema kuwa, hilo suala wamepanga kulizungumza hivi karibuni
mara baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) watakapokutana.

Mnguto alisema kuwa, wanasubiria wanasheria wao walipitie suala hilo na mwisho wa siku watalitolea ufafanuzi
kwa undani.

“Kiukweli tangu tuliposaini mkataba na GSM nikiri klabu hazijapata chochote. Klabu zimeitangaza GSM kwa muda wa miezi mitatu sasa, kwa hiyo tunasubiri wanasheria walipitie suala hilo tujue tunafanyaje.

“Hata suala la zile nembo kwenye mabega sijui kama zinaweza kutolewa haraka lakini hata hilo litafanyiwa
kazi kisheria,” alisema Mnguto.

Naye Mkurugenzi wa Habari na Masoko wa TFF, Boniface Wambura, akizungumzia hilo alisema: “Sisi
baada ya kupata barua kutoka GSM, suala la mkataba ni Bodi ya Ligi na ni vema akatafutwa Mnguto lakini
kwa upande wa sisi TFF hatuwezi kuzungumzia kila jambo.

“Tayari tumetoa tamko letu jana (juzi) kuhusiana na hilo baada ya kupata barua GSM.” Juzi TFF ilitoa taarifa
kuwa, Februari 7, mwaka huu walipokea barua ya kuvunja mkataba wa udhamini mwenza wa Ligi Kuu Bara
ya NBC kutoka Kampuni ya GSM, hivyo Shirikisho hilo linafanyia kazi barua hiyo na litatoa taarifa kwa wadau.
 
Back
Top Bottom