Na Yeye SMS zake akimtumia Kaka yake Gharib aishiye Dubai ( UAE ) kuomba afanyiwe Faragha nae ya Kibaiolojia zikianza kuwekwa pia mshangilie na muwe Wavumilivu hivi hivi sawa?Haji yuko sahihi na nasisitiza aendeleze alipoishia. Huwezi kuomba msaada Kwa Mtu unayemchafua Kila siku na kumchonganisha na Watumishi wake (Wachezaji). Huyu anayeona Mil.4 anazopewa Feisal ni ndogo ndo anaomba msaada wa Kodi ya nyumba?
Kampuni ya MSG inatumia Pesa zake Chafu kuwapenyezea Wafanyakazi wasiowaamini wa Makampuni ya Simu kuzidukua na Kuwatumia kisha wanazisambaza kwa Lengo la Kumchafua na Kumnyamazisha ili aogope na aache Kuisema hiyo Klabu ya Manara.Haji nae anapatataje access ya kusoma message kwenye simu ya mtu
Ndo naposhangaa mie hapo tyuuhHaji nae anapatataje access ya kusoma message kwenye simu ya mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee tupuu.Ni aibu wanaume ku share msg za simu!Hizi ndoa za jinsia moja mbona zinataka kuwa tatizo kubwa hivi?
Inawezekanaje mwanaume mwingine akawa na password ya simu,pattern anaijua,anasoma msg kisha wivu unamwingia,anaanza kuchamba mwanaume mwingine mtandaoni!!Na na bado hawa watu wanasema huu mwezi wa toba?!!
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaa!!!Na Yeye SMS zake akimtumia Kaka yake Gharib aishiye Dubai ( UAE ) kuomba afanyiwe Faragha nae ya Kibaiolojia zikianza kuwekwa pia mshangilie na muwe Wavumilivu hivi hivi sawa?
Huwez mponda mtu au taasis alafu mlango wa nyuma unaenda mlilia shida ni watu wachache sana watakushtiri wengi wao watatumia kama mwanya wa kukuzalilishaOgopa macho ya watu ukawa maarufu alafu huna Hela ukisaidiwa sehemu wanakupiga picha wanaitunza watu wengi huambatanisha umaarufu na pesa(uwezo wa Mali) kitu ambacho si sahihi
Watanzania wengi vipato vyetu vinafanana fanana ni wachache wapo juu , wachambuzi wanaozungumziwa nao ni watu kama sisi Kuna muda nao wanabanwa kwa kukosa kama sisi umaarufu wao kuonekana kwenye TV usiwafanye watu waamini wao ndo wanatakiwa kutusaidia kuliko sisi kuwasaidia Kuna wengine tumewazidi hata kipato pia tukumbuke hilo
Tafuta ela nawewe uwe na wapambe a.k.a chawaHilo ni swali muhimu sana
Hakika , professional inakufanya uondokane na lawama na chuki japo huwezi kosa mwenye chukiHuwez mponda mtu au taasis alafu mlango wa nyuma unaenda mlilia shida ni watu wachache sana watakushtiri wengi wao watatumia kama mwanya wa kukuzalilisha
Kikubwa ni kuwa na professional kwenye kazi zetu
Mashoga wana wivu hatariHaji roho inamuuma bwana ake kuombwa hela..
Huyo mtangazaji aache njaa na Aishi kulingana na kipato chake atakuja yaponza marinda kijinga sana.Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.
Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.
Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Na kama katumiwa screenshot na hersiSio kawaida mwanaume ku share password na mwanaume mwingine!Haji anawezaje ku share msg na Hersi?We huoni ni tatizo hilo?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kama kapewa screenshot ili kuwaweka wazi hawa machawa wasiojielewaMazoea ya ajabu sana, unawezaje kusoma SMS za mtu
Usikute huyo mwenye simu hajaridhia, ila yeye haji na wivu wake kachukua simu ya bwanake na kuziweka public.Ina maana Hersi kila kitu chake anamuonesha Manara? Hadi siri zake anampaa??
Duuuh makubwaa, sio kwa ukaribu huo walio nao, hongera zao.
Ila manara aache umbea, yeye yana muhusu nini?
Sasa mbona na wewe umekosa staha na kuweka public ujinga huu?Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.
Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.
Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330