Haji Manara na huyo kigogo Yanga wajitathmini

Confi umeharibu kuleta JF. Wengine hiyo Instagram wala hawaijui, wameona hapa.
 
Haji yuko sahihi na nasisitiza aendeleze alipoishia. Huwezi kuomba msaada Kwa Mtu unayemchafua Kila siku na kumchonganisha na Watumishi wake (Wachezaji). Huyu anayeona Mil.4 anazopewa Feisal ni ndogo ndo anaomba msaada wa Kodi ya nyumba?
Na Yeye SMS zake akimtumia Kaka yake Gharib aishiye Dubai ( UAE ) kuomba afanyiwe Faragha nae ya Kibaiolojia zikianza kuwekwa pia mshangilie na muwe Wavumilivu hivi hivi sawa?
 
Haji nae anapatataje access ya kusoma message kwenye simu ya mtu
Kampuni ya MSG inatumia Pesa zake Chafu kuwapenyezea Wafanyakazi wasiowaamini wa Makampuni ya Simu kuzidukua na Kuwatumia kisha wanazisambaza kwa Lengo la Kumchafua na Kumnyamazisha ili aogope na aache Kuisema hiyo Klabu ya Manara.
 
Ina maana Hersi kila kitu chake anamuonesha Manara? Hadi siri zake anampaa??

Duuuh makubwaa, sio kwa ukaribu huo walio nao, hongera zao.

Ila manara aache umbea, yeye yana muhusu nini?
 
Ni aibu wanaume ku share msg za simu!Hizi ndoa za jinsia moja mbona zinataka kuwa tatizo kubwa hivi?
Inawezekanaje mwanaume mwingine akawa na password ya simu,pattern anaijua,anasoma msg kisha wivu unamwingia,anaanza kuchamba mwanaume mwingine mtandaoni!!Na na bado hawa watu wanasema huu mwezi wa toba?!!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee tupuu.
 
Na Yeye SMS zake akimtumia Kaka yake Gharib aishiye Dubai ( UAE ) kuomba afanyiwe Faragha nae ya Kibaiolojia zikianza kuwekwa pia mshangilie na muwe Wavumilivu hivi hivi sawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaa!!!
 
Ogopa macho ya watu ukawa maarufu alafu huna Hela ukisaidiwa sehemu wanakupiga picha wanaitunza watu wengi huambatanisha umaarufu na pesa(uwezo wa Mali) kitu ambacho si sahihi

Watanzania wengi vipato vyetu vinafanana fanana ni wachache wapo juu , wachambuzi wanaozungumziwa nao ni watu kama sisi Kuna muda nao wanabanwa kwa kukosa kama sisi umaarufu wao kuonekana kwenye TV usiwafanye watu waamini wao ndo wanatakiwa kutusaidia kuliko sisi kuwasaidia Kuna wengine tumewazidi hata kipato pia tukumbuke hilo
 
Huwez mponda mtu au taasis alafu mlango wa nyuma unaenda mlilia shida ni watu wachache sana watakushtiri wengi wao watatumia kama mwanya wa kukuzalilisha
Kikubwa ni kuwa na professional kwenye kazi zetu
 
Hakika , professional inakufanya uondokane na lawama na chuki japo huwezi kosa mwenye chuki
 
Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.

Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.

Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Huyo mtangazaji aache njaa na Aishi kulingana na kipato chake atakuja yaponza marinda kijinga sana.
 
Ina maana Hersi kila kitu chake anamuonesha Manara? Hadi siri zake anampaa??

Duuuh makubwaa, sio kwa ukaribu huo walio nao, hongera zao.

Ila manara aache umbea, yeye yana muhusu nini?
Usikute huyo mwenye simu hajaridhia, ila yeye haji na wivu wake kachukua simu ya bwanake na kuziweka public.
Halafu kwanza kupiga mzinga ni jambo la kawaida tu kwa sababu hatulingani kwa uwezo labda tu mizinga inapozidi.
 
Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.

Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.

Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Sasa mbona na wewe umekosa staha na kuweka public ujinga huu?
 
Back
Top Bottom