Haji Manara na huyo kigogo Yanga wajitathmini

Bahasha walizotembezewa hawa wachambuzi wa mchongo zinaenda kuwatokea puani.
 
Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.

Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.

Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Sahih Sana haji na wilison oruma wanachofanya Ni upumbafu mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.

Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.

Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330

Kama wanaponda halafu wanaomba msaada, sioni shida huo unafiki kuwekwa publicly
 
Kunipigia hawa Wachambuzi uchwara wanaolipwa bila kazi yoyote zaidi ya umbea, nitachangia tofali 3000 ili upande juu zaidi.
Kufanya ugunduzi wa kujua kuwa pale utopoloni wamejaa macharlie champlin kama wewe napendekeza hili sanamu lijengwe pale Lugalo Jeshini ili lipate ulinzi dhidi ya member wa utopolo wasije kuliiba.
 
Na ndio maana aliwasema hawana akili na baadae akawafuata hukohuko anazidi kuwatoa akili......

Akili mtu wangu
Kama simba wanaakili kwanin mlimuajiri in first place sababu tabia za manara hata kabla hajawa msemaj wa simba zinajulikana tuachen unafki
 
Akili unaweza kukosa wakati wowote. Kuna watu wanaweukia ukubwani. Unajifanya hujui kwa nini walimfukuza?
 
Wewe labda ulikuwa kijijini humjui Manara, tena Manara sasa hivi ndio amestaarabika.

Hujawahi kumuona Manara kwenye majukwaa ya Ccm enzi za CUF ngangari, huyo kichwani hamna kitu, kwanza nilishangaa kusikia ameshinda ukatibu Mwenezi wa Ccm Dar, au labda Ccm walihitaji Fundi wa kutukana.
 
Huyo jamaa huwaga ni mshamba sana anabishaga mambo ambayo yako wazi
Manara ni mwehu mbona hata yanga wanalifahamu hilo
 
Huwez mponda mtu au taasis alafu mlango wa nyuma unaenda mlilia shida ni watu wachache sana watakushtiri wengi wao watatumia kama mwanya wa kukuzalilisha
Kikubwa ni kuwa na professional kwenye kazi zetu
Ndo uwaanike?
 
Back
Top Bottom