Haji Manara na Shafii wakoseana adabu,warushiana tuhuma nzito nzito

Haji Manara na Shafii wakoseana adabu,warushiana tuhuma nzito nzito

Haji Manara ni Mpumbavu kama wapumbavu wengine

Na ninathubutu kusema, bila hali yake aliyonayo (Mungu nisamehe) angekuwa kwenye wakati mgumu kutokana na kaliba yake ya kuropoka
 
Katika watu wajinga kwenye mpira Manara anaongoza..juzi kasema Simba wanaweza kucheza mechi mbili kwa siku moja..maana wanakikosi kipana...kabla ya mechi ya Yanga waliandika barua TFF kuomba mechi na Biashara United ifutwe wapate muda wa kujiandaa na mechi ya Yanga....huyu mtu ni mbumbumbu aliyetajwa na Rage
 
"Manara apata mtoto"ndo sababu wanahabari waache gossiping kuhusu transifer! Manara kajifunze vuzuri, haya yapo kote duniani. Zidane alivalishwa jezi ya timu ya taifa Qatar, nada man united, sasa hivi Mara united inauzwa nk.Tolerance broda tolerance
 
Ni mara chachr na nadra sana kumpata Mlemavu ambaye si mkorofi!

Wengi wanatabia za namna hiyo!

Sasa hadi maswala ya sehemu ya Kazi afanyiapo Shafii imeingiaje hapa?
Uko sahihi,huwa kuna psychological disorder
 
Manara ni mtu wa hovyo sana anaropoka vitu vingine havihusiani sasa apo kamtag Diamond ili amuingize kwenye ugomvi au iweje? ukiangalia page yake ya insta amejaza vijembe vingi dhidi ya yanga lkn wana mvumilia tu that means anapenda ugomvi lkn hana uvumilivu
 
Mimi ni mshabiki wa Simba na nadhani kwa mabadiliko yaliyofanyika Simba nadhani ni wakati wa club kuwa na msemaji mpya ambaye atakuwa anajuwa anawakilisha club kubwa kama Simba yenye mfumo wa kibiashara zaidi kama kampuni. Sijaona tatizo la Shafii kuandika alichoandika haya ni mambo ya mpira na ndio burudani ila mtu kuanza kuchukulia kazi na ugomvi binafsi hapo kuna tatizo. kama kumhsuari Shafii usimjibu na kama ungekuwa umekosea tungekusema lakini kwa hili Manara aombe msamaha tu kwa media sio Shafii.
 
Manara ni mtu wa hovyo sana anaropoka vitu vingine havihusiani sasa apo kamtag Diamond ili amuingize kwenye ugomvi au iweje? ukiangalia page yake ya insta amejaza vijembe vingi dhidi ya yanga lkn wana mvumilia tu that means anapenda ugomvi lkn hana uvumilivu
Si anajua Diamond ana mashabiki wengi hivyo wataungana naye kumuattack Dauda
 
Ni mara chachr na nadra sana kumpata Mlemavu ambaye si mkorofi!

Wengi wanatabia za namna hiyo!

Sasa hadi maswala ya sehemu ya Kazi afanyiapo Shafii imeingiaje hapa?
Mnaacha kujadili hoja sasa unajadili maumbile yake na rangi ya ngozi yake.Jerry Muro aliongea zaidi ya haya na hakuhusishwa na mapungufu ya viungo kama yapo.We nadhani umesahaulika kutajwa na Konk Konk.Sasa mie ndo nakutaja.
 
Japo una uma lkn ndo ukweli ulemavu wake pia una changia ujinga wake
 
Mnaacha kujadili hoja sasa unajadili maumbile yake na rangi ya ngozi yake.Jerry Muro aliongea zaidi ya haya na hakuhusishwa na mapungufu ya viungo kama yapo.We nadhani umesahaulika kutajwa na Konk Konk.Sasa mie ndo nakutaja.
Kwa jina lako tu sishangai kuwa na tabia kama za Manara!....ndivyo mlivyo.

Kubalini mnatumia ulemavu wenu kama kinga ya kutotaka kuambiwa ukweli!

Kiwete ninyi ni wakorofi. Angalia hata matusi unayonitukana!....umeona kuna mtu "mzima" kanitukana namna ulivyofanya wewe?
 
Pamoja na kwamba sishabihiani na hilo jina kwa namna unavyofikiri wewe nasisitiza ni lazima uwe mtu wa aina iliyotajwa na Konk kwa tathmini yangu.Kama wewe unaamini watu walemavu ni wakorofi hivyo,nami niache niamini watu wenye hoja kama zako wengi huingiliwa kinyume na maumbile.Heshimu mawazo yangu
 
Lakini ndugu yangu Manara kibaya ni kipi hapo?!? Shafii ni mwandishi wa habari na habari ndio hizo. Tetesi inayomhusu NIyonzima ni habari hasa ikiwa ni tetesi za usajili.Manara huna haja ya kuchachamaa hivyo maana Shafii yupo kazini, halafu naogopa kidogo unaposema ataleta mgogoro ndani ya Simba!!!, hivi Simba na viongozi wake mnaweza kuvurugika kwa sababu Shafii kaandika kuhusu tetesi za Niyonzima?!?, napata shaka na uwezo wenu/wako wa kuongoza. Hilo ukae unajua iko siku Niyonzima na wengine wataondoka Simba!!! JIPANGE
 
Nilishasema Haji Manara ni kama Taahira tu.
 
Back
Top Bottom