shahid365
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 518
- 420
Mkuu sio mpumbavu ni mbumbavuWrite your reply...
haji ni mpumbavu sana, ila ndo basi tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio mpumbavu ni mbumbavuWrite your reply...
haji ni mpumbavu sana, ila ndo basi tu..
Uko sahihi,huwa kuna psychological disorderNi mara chachr na nadra sana kumpata Mlemavu ambaye si mkorofi!
Wengi wanatabia za namna hiyo!
Sasa hadi maswala ya sehemu ya Kazi afanyiapo Shafii imeingiaje hapa?
Si anajua Diamond ana mashabiki wengi hivyo wataungana naye kumuattack DaudaManara ni mtu wa hovyo sana anaropoka vitu vingine havihusiani sasa apo kamtag Diamond ili amuingize kwenye ugomvi au iweje? ukiangalia page yake ya insta amejaza vijembe vingi dhidi ya yanga lkn wana mvumilia tu that means anapenda ugomvi lkn hana uvumilivu
Hii inaweza kuwa swagg mpya mjini...hatusemi tena PU.MBAV....sasa hv ni Bumbav....Shaffih boya tu, na mi nasema BUMBAVU sana.
Kosa la shaffi liko wapi...?Baada ya Shafii kuweka hii picha,nusu jezi ya Simba nusu Azam ,aisee Manara amefyatuka kama sijui nini.View attachment 937264
Huku maneno mazito mazito yakifuata
View attachment 937266View attachment 937267View attachment 937268 Manara huwa anapenda sana kuwatania watu hasa Yanga lakini huwa yuko sensitive sana.
Mnaacha kujadili hoja sasa unajadili maumbile yake na rangi ya ngozi yake.Jerry Muro aliongea zaidi ya haya na hakuhusishwa na mapungufu ya viungo kama yapo.We nadhani umesahaulika kutajwa na Konk Konk.Sasa mie ndo nakutaja.Ni mara chachr na nadra sana kumpata Mlemavu ambaye si mkorofi!
Wengi wanatabia za namna hiyo!
Sasa hadi maswala ya sehemu ya Kazi afanyiapo Shafii imeingiaje hapa?
Kwa jina lako tu sishangai kuwa na tabia kama za Manara!....ndivyo mlivyo.Mnaacha kujadili hoja sasa unajadili maumbile yake na rangi ya ngozi yake.Jerry Muro aliongea zaidi ya haya na hakuhusishwa na mapungufu ya viungo kama yapo.We nadhani umesahaulika kutajwa na Konk Konk.Sasa mie ndo nakutaja.
Pamoja na kwamba sishabihiani na hilo jina kwa namna unavyofikiri wewe nasisitiza ni lazima uwe mtu wa aina iliyotajwa na Konk kwa tathmini yangu.Kama wewe unaamini watu walemavu ni wakorofi hivyo,nami niache niamini watu wenye hoja kama zako wengi huingiliwa kinyume na maumbile.Heshimu mawazo yanguKwa jina lako tu sishangai kuwa na tabia kama za Manara!....ndivyo mlivyo.
Kubalini mnatumia ulemavu wenu kama kinga ya kutotaka kuambiwa ukweli!
Kiwete ninyi ni wakorofi. Angalia hata matusi unayonitukana!....umeona kuna mtu "mzima" kanitukana namna ulivyofanya wewe?